Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Wanatuma sana. Kama unafanya biashara whatsapp utakutana sana na hizo sms. Wengine wanatuma kazi, scholaship nk nk. Sikujua kuwa kuna watu hupigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo issue zipo kweli, ila Mimi sifanyi promo hapa na wala simconnect yeyote, kuna group maalum la WhatsApp nipo kwa ajili ya mabando tu, unaweza kuona hapa, hili nalithibitisha.Life mtaani ni gumu ukijichanganya na tamaa zako kupigwa umeme ni sekunde tu.
Airtel wana SME Tigo nao wana ile program yao ya kulipa kwa mwezi watafute hao utakuwa salama nje ya hapo kilio hakiepukiki
😁😁😁😁😁😁😁Nilichopenda umekiri kupigwa bila kupindisha pindisha😂😂😂.
Kuna kimalaya (nakiita kimalaya maana ni kijizi) nilikutana nako FB. Kakiniletea story hizo za kuungwa bundle kwa bei chee.
Nikakiambia kuwa kazi zangu nafanya sana online hivyo aniunganishe cha mwezi mzima lakini ningependa nikutane nae ili nimkabidhi pesa.
Kalivyo kajinga kakaja kweli. Nilikapeleka guest, kalivyokuwa kanaoga nikapekuwa kitochi chake nakuta msg za malalamiko kibao za waliotuma pesa bila kuungwa.
Fasta nikasevu namba yangu kama airtelmoney kwenye simu yake. Kalipotoka kakasema nikape pesa ya kuungwa maana cha mwezi kinachukua muda hivyo inabidi amjulishe mwenzie aanze process.
Nikamtumia msg ya muamala fake wa thamani ya kifurushi cha miezi mitatu. Nikamwambia wewe mwambie aunge sisi tufanye yetu.
Nilikapiga mbupu, baada ya kumaliza nikakaambia nauli akate kwenye pesa ya bundle aniunge cha miezi miwili badala ya mitatu.
Itoshe kusema baada ya dk kadhaa za kuachana nilitukanwa kila aina ya tusi kwenye msg.
Ahsante sana kwa ushauri Mkuu.Pole sana mkuu, kiuhalisia hizo bando kweli zipo ila tembelea shop zao kisha watakupa utaratibu wao wanaziita post paid bundles achana na vishoka wa mtandaoni.
Tena kama ni mfanyabiashara na unahitaji kwajili ya wafanyakazi wako let's say watatu au watano bei inapoa kidogo.
🙏
Ahsante kwa ofa, lakini mara hii sidanganyiki tena ng'o!Hizo issue zipo kweli, ila Mimi sifanyi promo hapa na wala simconnect yeyote, kuna group maalum la WhatsApp nipo kwa ajili ya mabando tu, unaweza kuona hapa, hili nalithibitisha.
KARIBUNI WATEJA WANGU
HUDUMA ZILIZOPO LEO
(Ttcl, Airtel, Tigo,Halotel, Vodacom)
Contact: 0626716364
Airtel sme Bundle available
📶📶📶📶📶📶📶📶
HALOTEL OFFERS
Muda: Mwez mmoja✅
VIFURUSHI VYENYE GB, DAKIKA NA SMS
1) 6 GB, 550 DKK,600 SMS
Bei 13,000
2) 9. GB , 800 DKK, 700 SMS
Bei 19,000
3). 15 GB, 1100 DKK,
SMS 1000,
Bei 23,000
4) 23 GB, 1400 DKK,
SMS 1000,
Bei 35,000
5). 31 GB, 1000 DKK,
SMS 1000,
Bei 45,000
6). 40 GB, 2000 DKK,
SMS 1000,
Bei 55,000
TIGO OFFERS
📈📈📈📈📈📈📈📈📈
TIGO GB BANDO ZA ZINADUMU MIEZI 2 (SIKU 60)
GB 1 = 1800
GB 2= 3600
GB 3 = 5400
GB 4 = 7200
GB 5 = 9000
GB 7 = 12,600
GB 10 = 18000
GB 15 = 27000
GB 20 = 36,000
GB 25 = 45,000
GB 30 = 54,000
Unga Mara nyingi upendavyooo😁
OKOA GHARAMA
#HATUZIMI DATA#
Aunge kwanza ndo unatuma pesa.Leo katika pitapita zangu kwenye moja ya mitandao ya Kijamii, nimekutana na tangazo la kuunganishiwa kifurushi au bando kwa bei nafuu (Gb 7 kwa mwezi kwa Tshs. 5,000/=) na kulingana na hali ya mambo kwa sasa ilivyo, nikaona hii ita itanipa unafuu wa maisha maana vifurushi vimekuwa ghali sana kwa siku za hivi karibuni. Nikaamua kujitosa na kutuma muamala baada ya kuhakikishiwa kwamba nitaunganishiwa huduma baada ya dakika 4 tu, toka nimekamilisha malipo.
Basi bana, baada ya kutuma, nikamjulisha mtaalamu wangu kwamba tayari, halafu nikakaa kusubiria. Subiri we dakika 5 zikapita, ikabidi nimuulize tena, "Mkuu mbona sioni msg ya kuunganishwa?"
Akaniambia yuko kwenye process ya kuniunga.
Nikakaa we hadi nusu saa ikapita kisha nikamuuliza tena, vipi mbona hadi sasa sijaona?
Akaniambia inabidi uongezee elfu 7 (7,000/=) ili kuki-activate kifurushi changu.
Kwa sababu mimi ni kati ya watu ambao "tulishapigwa" sana japo hatukomi, nikajiongeza kwamba hapa tayari nimeshapigwa.
Lakini siku zote huwa napenda kuwataarifu wenzangu ili wasije kuumizwa kama ambavyo mimi nimeumizwa.
Hivyo lengo kuandika uzi huu, ni kuutahadharisha umma wa JF na Watanzania wote kwa ujumla kwamba kuna wizi mpya umeingia.
Tusipende vitu vya bei nafuu, maana mara nyingi huwa na gharama za ziada zilizofichika.
View attachment 2712819
Mkuu, tuendelee kuwasaidia na wengine ili kupunguza idadi ya watu kupigwa.Wanatuma sana. Kama unafanya biashara whatsapp utakutana sana na hizo sms. Wengine wanatuma kazi, scholaship nk nk. Sikujua kuwa kuna watu hupigwa.
Ukipata wasaa pitia Airtel Shop iliyo karibu yako wakupe elimu.Ahsante sana kwa ushauri Mkuu.
Hiyo SME ndo nini?
Sijakupa offer na wala sifanyi biashara hizo, nilichojaribu ni kuthibitisha hizi mambo zipo na Mimi ni shuhuda lakini mpaka ukutane na watu sahihi.Ahsante kwa ofa, lakini mara hii sidanganyiki tena ng'o!
Hiyo ya group alilokuandikia mdau hapo juu ni kweli lipo kabisa na unaungwa vizuri sana hizo packagesAhsante kwa ofa, lakini mara hii sidanganyiki tena ng'o!
Daah newbie kakutana guru kwenye fani ya utapeliNilichopenda umekiri kupigwa bila kupindisha pindisha[emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna kimalaya (nakiita kimalaya maana ni kijizi) nilikutana nako FB. Kakiniletea story hizo za kuungwa bundle kwa bei chee.
Nikakiambia kuwa kazi zangu nafanya sana online hivyo aniunganishe cha mwezi mzima lakini ningependa nikutane nae ili nimkabidhi pesa.
Kalivyo kajinga kakaja kweli. Nilikapeleka guest, kalivyokuwa kanaoga nikapekuwa kitochi chake nakuta msg za malalamiko kibao za waliotuma pesa bila kuungwa.
Fasta nikasevu namba yangu kama airtelmoney kwenye simu yake. Kalipotoka kakasema nikape pesa ya kuungwa maana cha mwezi kinachukua muda hivyo inabidi amjulishe mwenzie aanze process.
Nikamtumia msg ya muamala fake wa thamani ya kifurushi cha miezi mitatu. Nikamwambia wewe mwambie aunge sisi tufanye yetu.
Nilikapiga mbupu, baada ya kumaliza nikakaambia nauli akate kwenye pesa ya bundle aniunge cha miezi miwili badala ya mitatu.
Itoshe kusema baada ya dk kadhaa za kuachana nilitukanwa kila aina ya tusi kwenye msg.
Kwa sababu mimi ni kati ya watu ambao "tulishapigwa" sana japo hatukomi, nikajiongeza kwamba hapa tayari nimeshapigwaLeo katika pitapita zangu kwenye moja ya mitandao ya Kijamii, nimekutana na tangazo la kuunganishiwa kifurushi au bando kwa bei nafuu (Gb 7 kwa mwezi kwa Tshs. 5,000/=) na kulingana na hali ya mambo kwa sasa ilivyo, nikaona hii ita itanipa unafuu wa maisha maana vifurushi vimekuwa ghali sana kwa siku za hivi karibuni. Nikaamua kujitosa na kutuma muamala baada ya kuhakikishiwa kwamba nitaunganishiwa huduma baada ya dakika 4 tu, toka nimekamilisha malipo.
Basi bana, baada ya kutuma, nikamjulisha mtaalamu wangu kwamba tayari, halafu nikakaa kusubiria. Subiri we dakika 5 zikapita, ikabidi nimuulize tena, "Mkuu mbona sioni msg ya kuunganishwa?"
Akaniambia yuko kwenye process ya kuniunga.
Nikakaa we hadi nusu saa ikapita kisha nikamuuliza tena, vipi mbona hadi sasa sijaona?
Akaniambia inabidi uongezee elfu 7 (7,000/=) ili kuki-activate kifurushi changu.
Kwa sababu mimi ni kati ya watu ambao "tulishapigwa" sana japo hatukomi, nikajiongeza kwamba hapa tayari nimeshapigwa.
Lakini siku zote huwa napenda kuwataarifu wenzangu ili wasije kuumizwa kama ambavyo mimi nimeumizwa.
Hivyo lengo kuandika uzi huu, ni kuutahadharisha umma wa JF na Watanzania wote kwa ujumla kwamba kuna wizi mpya umeingia.
Tusipende vitu vya bei nafuu, maana mara nyingi huwa na gharama za ziada zilizofichika.
View attachment 2712819
Telegram mule ndio wamejaa kwakweliNilihisi tuu kua ni Telegram,
kuna wale wanakuja wakijidai wakenya/waganda au South Africans wakitaka mfanye business.
Ulimpatia kweli manzi huyo aisee huko alipo anajilaumu mpk kesho [emoji23]Nilichopenda umekiri kupigwa bila kupindisha pindisha[emoji23][emoji23][emoji23].