Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.

Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.

Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.

Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
 
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfurulizo.

Ni hatari sana Chief
 
Haya mazali ya kuvamiwa na wezi na vibaka natamani sana zinitokee lakini wapi. Kila usiku nalala mlango wazi maksud wananikwepa tu na kuvamia majirani na kwengine.

Sijui nina gundu gani? Yani namaindi kichizi.
 
Ndani ukae bila panga, rungu, mkuki halafu unajiita mwanaume
 
Wizi sio mitaani tu, huko maofisini ndio balaa!! Wanaume ndio wanaongoza kana kwamba wanamkomoa mama kumuonesha kuwa kwa vile ameamua kuwatelekeza na kuwaamini wanawake wenzie basi wanataka kuona atafika wapi!! Wanahomola sio mchezo; mama wewe ni Rais wa wote ,bila wanaume usingekuwa hapo hivyo usiwatelekeze, you will be doing it at your own peril!!
 
Wizi upo enzi na enzi mpaka likaanzishwa sungusungu
 
Huku kwetu wizi hakuna mkuu.. ukiiba yaani ndugu zako wenyewe wanakwambia utauliwa peupe.. yaani hasubuhi watu wanakukuta umechinjwa kama ng’ombe mkuu na waliokuchinja unawajua wewe mwenyewe uliyekufa uzuri ni mwizi na hasingiziwi mtu mkuu... huku kwetu ninepapenda sana mkuu.. hapana mchezo
 
Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.

Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.

Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.

Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
Daah, halafu watakoadhibiwa hata si wenye hatia.., sungusungu mtumie akili na sio kusingizia watu wasio na hatia ili kuridhisha nafsi zenu
 
Ndani ukae bila panga, rungu, mkuki halafu unajiita mwanaume

unaweza usiwe na vyote hivyo ukawa na bunduki ndani... ukawa na mlinzi analinda nyumba ukiwa umelala nk..
 
Back
Top Bottom