jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Tuliovamiwa twakushauri usiombee. Ila itakutokea. Ni experience mbaya sana inayoweza kukuuwa, kuwa kilema, kuuguwa kisaikolojia maana hujuwi watafanya nini, waweza kuwabaka wote ndani, kuwakata mapanga na hata kumaliza uhai wenu achana na kuiba vitu ambayo siyo mbaya. Ebu sali kujiepusha na hili balaa mkuu..Haya mazali ya kuvamiwa na wezi na vibaka natamani sana zinitokee lakini wapi. Kila usiku nalala mlango wazi maksud wananikwepa tu na kuvamia majirani na kwengine.
Sijui nina gundu gani? Yani namaindi kichizi.