Ni hatari sana ChiefUsiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfurulizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
Haya mazali ya kuvamiwa na wezi na vibaka natamani sana zinitokee lakini wapi. Kila usiku nalala mlango wazi maksud wananikwepa tu na kuvamia majirani na kwengine.Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfurulizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
Kwel mbususu ni mbususu ndio maana wanaigopaHaya mazali ya kuvamiwa na wezi na vibaka natamani sana zinitokee lakini wapi. Kila usiku nalala mlango wazi maksud wananikwepa tu na kuvamia majirani na kwengine.
Sijui nina gundu gani? Yani namaindi kichizi.
Huku Makete hakuna wizi kabisa!Wizi ulikuwepo toka enzi za ukoloni, huku Arusha miaka ya 90s saa 1 usiku tulikuwa tunajifungia ndani kuogopa majambazi! ndio maana Mrema alianzisha sungusungu...ni lini wizi na ujambazi uliisha?
Huko mwaka jana waliiba mpk nyumbani kwa mkuu wa wilaya we unasemaje hapaHuku Makete hakuna wizi kabisa!
Daah, halafu watakoadhibiwa hata si wenye hatia.., sungusungu mtumie akili na sio kusingizia watu wasio na hatia ili kuridhisha nafsi zenuUsiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
Huko mwaka jana waliiba mpk nyumbani kwa mkuu wa wilaya we unasemaje hapa
Ndani ukae bila panga, rungu, mkuki halafu unajiita mwanaume