Tuliovamiwa twakushauri usiombee. Ila itakutokea. Ni experience mbaya sana inayoweza kukuuwa, kuwa kilema, kuuguwa kisaikolojia maana hujuwi watafanya nini, waweza kuwabaka wote ndani, kuwakata mapanga na hata kumaliza uhai wenu achana na kuiba vitu ambayo siyo mbaya. Ebu sali kujiepusha na hili balaa mkuu..Haya mazali ya kuvamiwa na wezi na vibaka natamani sana zinitokee lakini wapi. Kila usiku nalala mlango wazi maksud wananikwepa tu na kuvamia majirani na kwengine.
Sijui nina gundu gani? Yani namaindi kichizi.
Wa aina hiyo ndio wale waliovamia kwa Mzee Dau nk nk. Hao wakisiasa. Haitaisha hiyo!Juzi si waliingia kwa balozi POLEPOLE mara hii mmeisha sahau?
Kwa Tanzania hii, usikute hao wezi ni polisi na wanajeshi wenyewehuko mitaani.Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
Huyo Dau nae walimuingilia lini ili hali yuko Malaysia?Wa aina hiyo ndio wale waliovamia kwa Mzee Dau nk nk. Hao wakisiasa. Haitaisha hiyo!
Yaonyesha hufuatilii habari. Uliza wenzako kijanaā¦Huyo Dau nae walimuingilia lini ili hali yuko Malaysia?
Yaonyesha hufuatilii habari. Uliza wenzako kijanaā¦
Wale wasiojulikana walikuwa na laoā¦Nafuatilia habari za muhimu, sidhani kama habari za kuibiwa kwake zilikuwa na umuhimu kwangu!
Wale wasiojulikana walikuwa na laoā¦
Alingiliwaga na mwizi mmjaHuyo Dau nae walimuingilia lini ili hali yuko Malaysia?
Alingiliwaga na mwizi mmja
Alimpigaga pesa, sema mwizi alikamatwaga...
Ulikuwa mchongo fulani ulitengenezwa
Tukio lilitokeaga muda tu
Ova
Tena ni mwizi mzoefuHuyo mwizi walimkuta na hizo pesa DAU alizoiba NSSF nae akaibiwa?
Thread 'Hii ni kwa Wala bata' Hii ni kwa Wala bataWanaume wa dar mnashida sana!
Kwa huko msumi kituo cha polisi kipo mbali sana hadi mwabepandeee ndio maana vibaka wanajiamini sana usikuUsiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.
we jamaa [emoji848][emoji848][emoji848]Haya mazali ya kuvamiwa na wezi na vibaka natamani sana zinitokee lakini wapi. Kila usiku nalala mlango wazi maksud wananikwepa tu na kuvamia majirani na kwengine.
Sijui nina gundu gani? Yani namaindi kichizi.
Dah...kazi hii sasa haiheshimiwi tena...yaani kila mtu anataka kuifanya....katika kila watu 10 ninaowapiga roba 7 wanasema ni staff...yaani hadi keroš¤Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya siku tatu.