wizi wa baiskel yangu nimeambiwa nikitoa taarifa polisi nitatimua nyuki

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.

Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila akibisha ndo nikamchukulie hatua,

yeye anadai nimpe 20000 kwani ameiokota sa 7 ya usiku na anaijua kuwa ni yangu namimi nilikua nimepak tu eneo langu la kazi sa 3 usiku kufunga ofisi siioni.

Kuna jamaa mmoja kanipa taarifa jana yeye aliemuona nayo juzi asubui, na jana ndo kanipa taarifa kua anataka iyo pesa.
 
Sasa so umwachie tu,angekuchukulia make si ungejinyonga achana naye
 
Nikajuaga tom and jerry zipo kwenye TV Tu kumbe hata kiuhalisia zipo.

Mfuate muulize kugawana majengo sh. ngapi akupe maelekezo,.
 
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.

Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila akibisha ndo nikamchukulie hatua,

yeye anadai nimpe 20000 kwani ameiokota sa 7 ya usiku na anaijua kuwa ni yangu namimi nilikua nimepak tu eneo langu la kazi sa 3 usiku kufunga ofisi siioni.

Kuna jamaa mmoja kanipa taarifa jana yeye aliemuona nayo juzi asubui, na jana ndo kanipa taarifa kua anataka iyo pesa.
Mnalalamika maisha magumu hakuna maendeleo bongo. Angalia mleta mada yupo Nyarugusu ndani ndani huko lakin ana access ya internet hadi kuposti JF.
 
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.

Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila akibisha ndo nikamchukulie hatua,

yeye anadai nimpe 20000 kwani ameiokota sa 7 ya usiku na anaijua kuwa ni yangu namimi nilikua nimepak tu eneo langu la kazi sa 3 usiku kufunga ofisi siioni.

Kuna jamaa mmoja kanipa taarifa jana yeye aliemuona nayo juzi asubui, na jana ndo kanipa taarifa kua anataka iyo pesa.
Utakuwa li baskel lile la ccm
 
Back
Top Bottom