nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Akubali unyonge na dhuluma?Mpe tu mambo yasiwe mengi
Sasa so umwachie tu,angekuchukulia make si ungejinyonga achana nayekumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.
Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila akibisha ndo nikamchukulie hatua,
yeye anadai nimpe 20000 kwani ameiokota sa 7 ya usiku na anaijua kuwa ni yangu namimi nilikua nimepak tu eneo langu la kazi sa 3 usiku kufunga ofisi siioni.
Kuna jamaa mmoja kanipa taarifa jana yeye aliemuona nayo juzi asubui, na jana ndo kanipa taarifa kua anataka iyo pesa.
Kila kitu saiz ni unyonge na dhulumaAkubali unyonge na dhuluma?
Pole Sana mkuuKila kitu saiz ni unyonge na dhuluma
Mnalalamika maisha magumu hakuna maendeleo bongo. Angalia mleta mada yupo Nyarugusu ndani ndani huko lakin ana access ya internet hadi kuposti JF.kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.
Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila akibisha ndo nikamchukulie hatua,
yeye anadai nimpe 20000 kwani ameiokota sa 7 ya usiku na anaijua kuwa ni yangu namimi nilikua nimepak tu eneo langu la kazi sa 3 usiku kufunga ofisi siioni.
Kuna jamaa mmoja kanipa taarifa jana yeye aliemuona nayo juzi asubui, na jana ndo kanipa taarifa kua anataka iyo pesa.
ππππNikajuaga tom and jerry zipo kwenye TV Tu kumbe hata kiuhalisia zipo.
Mfuate muulize kugawana majengo sh. ngapi akupe maelekezo,.
Wee cheka cheka tu jiandae zamu yako ya kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.ππππ
Inahusu nn? MxxxiiiieeewWee cheka cheka tu jiandae zamu yako ya kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.
Cheki hapo Chini watu wanavyokula kiapo siyo kitoto maamae.
View attachment 3454687View attachment 3454688
Ngwathra Nyamwi255 Mufti kuku The Infinity Jagina Intelligent businessman
Sasa umenitibua. Sasa utakula hiki kiapo cha utii kwa nguvu na Lazima na mkong'oto juu. π‘π‘π‘π‘π‘Inahusu nn? Mxxxiiiieeew
Chizi wee, ππππSasa umenitibua. Sasa utakula hiki kiapo cha utii kwa nguvu na Lazima na mkong'oto juu. π‘π‘π‘π‘π‘
View attachment 3454692
Utakuwa li baskel lile la ccmkumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.
Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila akibisha ndo nikamchukulie hatua,
yeye anadai nimpe 20000 kwani ameiokota sa 7 ya usiku na anaijua kuwa ni yangu namimi nilikua nimepak tu eneo langu la kazi sa 3 usiku kufunga ofisi siioni.
Kuna jamaa mmoja kanipa taarifa jana yeye aliemuona nayo juzi asubui, na jana ndo kanipa taarifa kua anataka iyo pesa.
Wee cheka cheka tu jiandae zamu yako ya kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.
Cheki hapo Chini watu wanavyokula kiapo siyo kitoto maamae.
View attachment 3454687View attachment 3454688
Ngwathra Nyamwi255 Mufti kuku The Infinity Jagina Intelligent businessman