mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Wezi ni maccm✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu?
✅Mbinu gani hutumika?Zinaibwaje kura husika?
✅Wahusika wa wizi ni nani hasa?
✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini?
✅Je ni kweli kuna asante ya vyeo kwa wanaofanikisha wizi?
✅Wanao iba kura wanawezaje kujizuia kufanya wizi mwingine?
✅Nini kifanyike kwa wezi wa kura?
✅Je, kuna namna ya kuwakamata na kuwashitaki wezi wa kura ktk chaguzi?
✅Nini kifanyike kudhibiti wizi wa kura ktk chaguzi?
✅Alifanikisha wizi wa kura anaweza kuwa mwadirifu ktk ofisi ya umma?
Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Zanzibar
Wezi ni maccm
Sasa mwizi atajichukulia hatua!!?Wamechukuliwa hatua gani?
TANU+ASP=CCM
Katiba ya CCM inaruhusu wizi?Ufisadi?
Unachukulia hatua gani gani wezi wanaobebbwa na mifumo? Labda yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.Wamechukuliwa hatua gani?
TANU+ASP=CCM
Katiba ya CCM inaruhusu wizi?Ufisadi?
Nani anaunda mifumo?Unachukulia hatua gani gani wezi wanaobebbwa na mifumo? Labda yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
Naona kila swali ulilo uliza kuna swali lingine kwa chini ambalo ni jibu la swali la juu
Wananchi walishapoteza nguvu yao dhidi ya watawala, wao wanaburuzwa tu.Nani anaunda mifumo?
Wananchi wa haki gani au nafasi gani ktk kushiriki kuunda mifumo ya nchi?
Je tutafika?
Wananchi walishapoteza nguvu yao dhidi ya watawala, wao wanaburuzwa tu.
Kizazi kipya Bado kinajitafuta, soon utaona mrejesho.Pamoja na kizazi kipya?