Pre GE2025 Wizi wa kura katika chaguzi na athari katika ustawi wa nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,090
✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu?

✅Mbinu gani hutumika? Zinaibwaje kura husika?

✅Wahusika wa wizi ni nani hasa?

✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini?

✅Je ni kweli kuna asante ya vyeo kwa wanaofanikisha wizi?

✅Wanao iba kura wanawezaje kujizuia kufanya wizi mwingine?

✅Nini kifanyike kwa wezi wa kura?

✅Je, kuna namna ya kuwakamata na kuwashitaki wezi wa kura ktk chaguzi?

✅Nini kifanyike kudhibiti wizi wa kura ktk chaguzi?

✅Alifanikisha wizi wa kura anaweza kuwa mwadirifu ktk ofisi ya umma?

Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Zanzibar
 
✅Je ni kweli kura zinaibwa wakati wa Uchaguzi mkuu?

✅Mbinu gani hutumika?Zinaibwaje kura husika?

✅Wahusika wa wizi ni nani hasa?

✅Wanaoshiriki na kufanikisha wizi wa kura wwnatunukiwa nini?

✅Je ni kweli kuna asante ya vyeo kwa wanaofanikisha wizi?

✅Wanao iba kura wanawezaje kujizuia kufanya wizi mwingine?

✅Nini kifanyike kwa wezi wa kura?

✅Je, kuna namna ya kuwakamata na kuwashitaki wezi wa kura ktk chaguzi?

✅Nini kifanyike kudhibiti wizi wa kura ktk chaguzi?

✅Alifanikisha wizi wa kura anaweza kuwa mwadirifu ktk ofisi ya umma?

Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Zanzibar
Wezi ni maccm
 
Wamechukuliwa hatua gani?
TANU+ASP=CCM

Katiba ya CCM inaruhusu wizi?Ufisadi?
Unachukulia hatua gani gani wezi wanaobebbwa na mifumo? Labda yatokee machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
 
Nani anaunda mifumo?
Wananchi wa haki gani au nafasi gani ktk kushiriki kuunda mifumo ya nchi?

Je tutafika?
 
Kutoheshimiwa Sanduku la kura ndo chanzo kikuu Cha Umaskini nchini mwetu.
 
Back
Top Bottom