Nyie si mmekazana kukaza misuli kukemea ushoga acha wajanja wajipigie pesa.
Yaan mmejiaminisha kua Ushoga ni janga zito kuliko Umeme, Maji, Afya, Ajira, Rushwa, Wizi wa Mali za Umma, n.k,
Na badooo, endeleeni kukemea Ushoga ripoti ya mwaka mwingine mtajikuta deni la Taifa limetuzidia tunaambiwa tupishe Nchi wenye madeni yao wajilipe.
nawewe kumbe ni shoga! Dah inasikitisha sana