Nyie si mmekazana kukaza misuli kukemea ushoga acha wajanja wajipigie pesa.
Yaan mmejiaminisha kua Ushoga ni janga zito kuliko Umeme, Maji, Afya, Ajira, Rushwa, Wizi wa Mali za Umma, n.k,
Na badooo, endeleeni kukemea Ushoga ripoti ya mwaka mwingine mtajikuta deni la Taifa limetuzidia tunaambiwa tupishe Nchi wenye madeni yao wajilipe.
Ila wakuu tuache utani kama kuna hiyo nafasi ya kuiba iba ,umaskini ni laana wakuu.
Hii ni nchi ya madalali.uweusi siyo laana, ni namana watoto wetu tunavyowaandaa na kuwatafakarisha, kuna kazi,kubwa inapaswa kufanywa, kutoka chini kabisa
Acha ubaguzi.Black people cannot rule themselves.. inabidi mjerumani arudi kutu tawala kwa Viboko na mijeledi.
WAngekua wanakwinbiaIQ zao pia ni ndogo
Ule udikteta wa kutupiga tri 1. 5 au upi. Mmeamua kutofata sheria msilaumu watundio maana tunasema hata ukete katiba mpya kwa watu kama hawa bado itakuwa shida maana hata sheria zilizopo haziruhusu wizi bali wanazivunja na kujitengenezea ulinzi.
Nini kifanyike: Dictatorship ni muhimu kwa jamii kama hii ambayo bado haijastaarabika ili wapumbavu wanyooshwe na wajifunze kupitia njia ngumu.