A
Anonymous
Guest
Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano zimeng'olewa eneo ninaloishi.
Hili jambo napata mashaka makubwa sana wahusika wa hili tatizo inawezekana ni mafundi wa Idara ya Maji maana wenzangu waliibiwa mara mbili wakaomba zikae ndani ya uzio lakini wahusika wa Idara wakawa wakali sana, hawataki.
Inakuwa ni hasara kila siku kuandika loss report na kununua meter. Serikali iliangalie hili jambo; wahusika wakamatwe au kama kuna uwezekano zijengewe mfuniko na funguo wakae nazo wenyewe.
Pia soma ~ MUWSA kutoa Sh Milioni 2 kwa watakaotaja wezi wa mita za maji Moshi