Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

Hahaha misamwanda itawamaliza ...
 
Hivi Bongo hakuna vituo vya self service? Kampuni kama Total wanatakiwa wawke vituo vingi vya self service. Vituo kama hivyo vitaondoa huu wizi wa kijinga.
 
chombo n chombo ilimrad tunakutana sheli. JOTI
 
Hii michezo ipo petrol station moja ipo tabata sheli kituo after kwa bibi.

Pale ukizubaa unaachwa feri.

Wengine wapo pale kituo after external kabla hujafika mwananchi upande wa kuelekea buguruni ni wapigaji hataree.
Mkuu kituo baada ya kwa Bibi ukiwa unaenda segerea mwisho au unaenda mjini..

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa anasumbuliwa na njaa tu, unakomaaje kuripoti jambo ambalo huna ushahidi nalo ?, enzi za Kikwete haya hayakuwepo, watu tulikuwa tunajaza mafuta hata huangalii ligeji linasoma namba ngapi, hii ndio faida ya kuchagua maccm, yalituambia tataisoma namba !!.
 
Hivi Bongo hakuna vituo vya self service? Kampuni kama Total wanatakiwa wawke vituo vingi vya self service. Vituo kama hivyo vitaondoa huu wizi wa kijinga.
Jinsi hofu ya kuibiwa uliyonayo wewe ndivyo wao wanawaza watapigwa tukiamua kujihudumia.
 
Jinsi hofu ya kuibiwa uliyonayo wewe ndivyo wao wanawaza watapigwa tukiamua kujihudumia.
Tukijihudimia watapigwaje? System si inafanya kazi kama unavyochukuwa fedha kwenye ATM ila tofauti ni kuwa yanatoka mafuta badala ya fedha?
 
Huo wizi hata mm nilishawahi kukutana nao. Akirudisha pump sehemu yake haiweki mpaka mwisho,inakua kama imeegeshwa.
 
Wewe nawe unakurupuka. Hili la kweli na kuna namna wanaweka ule mkono. Unabisha nini sasa?
Ungeelezea ni namna gani wanaweka huo mkono ungeonyesha nilivyokurupa Ila kuja na maneno matupu ni kazi bure..bila Shaka utakuwa Una undugu wa mbali na braza k
 
Kuna njia nyingine ukienda anakusogeza mahala huwezi soma vzr reader then kama ukimpa 20 anaandika 10 af anakwambia mashine ya risiti mbovu

Nlishamdaka mmoja hapo africasana akasema amejichanganya mwingine pia shekilango pale Total
 
Hahahahaa
 
Wiz upo
 
Huwa wanaziegesha hawaziingizi kabisa kwenye lock yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…