Hahaha misamwanda itawamaliza ...Hakikisha huwi na haraka wala madoido ufikapo kituo cha kujaza gari mafuta.
Usizubaishwe na uzuri wala story za kuzuga za mhudumu.
Epuka kukodolea macho msambwanda wa mhudumu Miele yako.
Macho yako yote kwenye pump reader hakikisha kabla hujawekewa mafuta isome 0000