barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
Wizkidayo a.k.a Star Boy...Ameendelea pale alipoishia usiku wa kuamkia leo amejaza O2 Arena pale U.K na kufanya bonge la show,
Na sikujaza tu baadae alimpandasha mtu mzima Chris Brown.
Msimu huu umekuwa wa wamafanikio zaidi kwake Star Boy maana Album yake ya Made In Lagos ikifanya vizuri Worldwide ikiwa na streaming zaidi ya bilion 1.
Essence ngoma ambayo imeuza mauzo ya Platinum kwa haraka ndani ya Marekani si jambo jepesi.
Star Boy sio wa Afrika tena ni Worldwide🙌🙌
#Forgive me.