Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Wazungu kama wote wamevurugwa balaa


Kuna clip moja niliiona huyu mnyama yupo studio na scott storchπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nikaitafute kilometa nisikilize
Davido anakimbizwa nasubiri ujio wake atakujaje....
 
Mbishi sana huyo lazima arudi kwa nguvu sana ila huku bongo tupo bize kushushana abaki mmoja tu kileleni na ili kumtoa hapo labda afe
Ushamba tu Ndugu....Kidayo, Burna, Davido wote wanaitafuta namba 1.
 
Sio kwamba wasanii wetu watashindwa kujaza huko kwenye maukumbi makubwa wenzetu wana diaspora wengi sana tofauti na sisi lakin kingine pia wap vizuri kwenye live performance ukilipia show Kama ya burn boy huwezi jutia kiingilio chak
Kwetu wanakuwa wanapagawa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nae si kashikwa MKONO na Sadala, still bado anakimbiza na huyu mwamba soko la Ulaya na US kalishika sana mwaka huu, kuifikia records ya nyimbo ya Essence swala dogo.

NB:Ogopa sana mawazo ya kijinga yanayo ongozwa na chuki.
Uchawi hauvuki border...
 
Uchawi hauvuki border...
Uchawi havuki boda !!!!!!, kwa hiyo unakipimo au formula kabisa ya kupima uhusiano kati uchawi na umbali? Au ndio uchawi is inversely proportional to distance.........πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Back
Top Bottom