barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
WizkidHiyo show ilikuwa ya Starboy au Burna Boy
Wanajua saanaHao wanaija ni noma
Jamaa hatari no1 AfrikaWiz kama Wiz
SaaanaAtar sana
Anajua saanaS T A R B O Y
Kwa hii miziki ya kucopy copy tutasubir sanaDahh...hawa akina uniwezi ki pesa,ki mayepe,ki serikali wataishia kujaza tandahimba na taifa huku wawaachie the international ones
Wantiti😀Wanaija wako serious...
Hata Ckay anachuana na akina Taylor Swift na Ed Sheeran kwenye Billboard Chart
Ha ha noma.. [emoji3][emoji3]Wantiti[emoji3]
Alafu january anaachia album mpya kijamaa kipo serious.....Breezy on stage😂HatariDahh...hawa akina uniwezi ki pesa,ki mayepe,ki serikali wataishia kujaza tandahimba na taifa huku wawaachie the international ones
Nigeria🙌 Hapo Davido anajipanga coz kakimbizwa saanaa😀Ha ha noma.. [emoji3][emoji3]
Love nwantiti.Wanaija wako serious...
Hata Ckay anachuana na akina Taylor Swift na Ed Sheeran kwenye Billboard Chart
Afokasi kimataifa,na zile Colabo za wasanii waliokuwa hai kimuziki.Love nwantiti.
Rayvany akiacha uswahili Atafika mbali Sana .