Mfano Kana ya Olamide na Wizkid Igbo ni 85%.. halafu sijawahi kumskia Dj Arafat akiimba kiingerezaMzee, watu kama hao huwa wana hit na ngoma moja au mbili basi, dj Arafat alikuwa anaimba kingereza lakini pia hakuwa level za kina wizkid na davido,
Hebu nitajie mnaija aliyeimba ki igbo mwanzo mwisho akatoboa..
Wasanii wetu hawajui kuimba kingereza. over
Sasa mkuu kama una-Copy Beats za Nigeria,Video unategemea nini???mwisho kabisa mi nasema tuibebe lugha yetu ipo siku dunia itakaa na kutusikiliza hata katika lugha yetu hii hii ya kiswahili ila mambo ya kufake ili tuonekane wa kimataifa haitusaidii just make good music good videos creativity create our own style.. tusiwaige waKenya Waganda or waNigeria wenzetu since wanazaliwa wanaongea english... Mbona yule dada wa south Shomadjozi ameimba kiswahili na kizulu na ameeleweka? tunakwama wapi?
Yah lakini nao wanakitutumua sana. From Ojuelegba to the World haikuwa rahisi kwa Wizkidayo. Lkn kwa sasa Dunia nzima anaskika..Popote pale anafanya show heavy.Number of Nigeria in UK kubwa,ukija kujumlisha mshikamano walikuwa nao ktk industry yao ya muziki lazima wafanye vizuri.
View attachment 1240864
View attachment 1240865
Wote wana talent ila naona Wizkid yupo kikazi ziadi ya Davido maybe because of their background Davido ni mtoto wa Bilionea wizkid amekulia maisha ya kimaskini zaidiSo Kidayo zaidi ya Davido?
Yah O.B.O nyumbani zipo Wiz katokea kwenye njaa. Sema Wizkid talented sana yani hatumiagi nguvu sana. Anajua ndio maana alitoboa mapema Kimataifa. Uimbaji wake na sauti unamuweka popote na anafit. But Davido pia ni mpambanaji huwa hakubari kirahisi.Wote wana talent ila naona Wizkid yupo kikazi ziadi ya Davido maybe because of their background Davido ni mtoto wa Bilionea wizkid amekulia maisha ya kimaskini zaidi
Ndo tatizo hilo unafuata culture ya mtu badala ya kufanya ubunifu wako mwenywSasa mkuu kama una-Copy Beats za Nigeria,Video unategemea nini???
hahaha...Ndo tatizo hilo unafuata culture ya mtu badala ya kufanya ubunifu wako mwenyw
Mi napenda sana kusikiliza good music kutoka popote siangalii jina and Wizkid never dissapointsYah O.B.O nyumbani zipo Wiz katokea kwenye njaa. Sema Wizkid talented sana yani hatumiagi nguvu sana. Anajua ndio maana alitoboa mapema Kimataifa. Uimbaji wake na sauti unamuweka popote na anafit. But Davido pia ni mpambanaji huwa hakubari kirahisi.
Wanajikuta wanaupush mziki wa Nigeria kwa nguvu sana. Huku tumekaa kibifu sana...
Anaiwakirisha Nigeria sio Africa. Sapot inaipata sana Nigeria na wanaigeria wanaoishi huko nje na vipofu wajinga wachache kutokea kama Tz hiviKizuri kinajiuza mzee Wizkid yupo juu anaiwakilisha vizuri Africa nzima na sapot anaipata kila sehemu si Nigeria tu sasa jiulize anatumia ndumba au ni nn kinamfanya apendwe sana
Lugha ya kiswahili tatizoSijasema diamond ni sawa na Wizkid sema mtoa mada anavyosema tunakwama wapi? Wakati Kuna mtu kama diamond anajitahidi kufanya makubwa
Tunafahamu Wizkid hafui dafu kwa King Kiba lakini umeamua kutomtaja. Sema nini King Kiba hapendi sifa za kijingaMwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out.
Hii inafanya msanii wa kwanza Afrika kuujaza ukumbi huo kwa Back to Back. Yani hiyo ni mara ya pili na mara zote tiketi zilikuwa Sold Out before Concert.
Tumezoea kuiona 02 Arena Ikijazwa na wasanii kama Chris Brown, Beyonce, Rihanna, Ariana Grande, Future n.k
STAR BOY NI MOTO WA KUOTEA MBALI.
Tunakwama wapi wabongo?
Mbona tuliambiwa Diamond ame drop internationallyMbona diamond mwaka Huu amejaza ukumbi mkubwa wa Columbus wa inchini Germany ambao kabla ajafanya yeye show hakuna msanii yoyote wa Africa aliyefanya hivyo na ticket zote zilikuwa sold out.sema kwa Tanzania hatuna wasanii wengi wanaofanya vizuri compare to Nigeria ukiachana na diamond wengine unawatafuta kwa tochi.
Hatred is a weak emotion mpenziVideo ya ushahidi wa huu uongo
Hatred is a weak emotion mpenzi
Mfa maji huishi kutapatapaAnzisha na uzi wake kabisa mkuu
Inahitaji kuwa na akili kubwa ili kubaini hiyo factor. Huwa wengi wamezoea ubishi maandaziKuna kitu cha kuangalia pia kwamba Nigeria ina diaspora kubwa sana kulinganisha na Tanzania.
Hii nayo inaweza kuwa factor.