Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Mzee, watu kama hao huwa wana hit na ngoma moja au mbili basi, dj Arafat alikuwa anaimba kingereza lakini pia hakuwa level za kina wizkid na davido,

Hebu nitajie mnaija aliyeimba ki igbo mwanzo mwisho akatoboa..

Wasanii wetu hawajui kuimba kingereza. over
Mfano Kana ya Olamide na Wizkid Igbo ni 85%.. halafu sijawahi kumskia Dj Arafat akiimba kiingereza
 
mwisho kabisa mi nasema tuibebe lugha yetu ipo siku dunia itakaa na kutusikiliza hata katika lugha yetu hii hii ya kiswahili ila mambo ya kufake ili tuonekane wa kimataifa haitusaidii just make good music good videos creativity create our own style.. tusiwaige waKenya Waganda or waNigeria wenzetu since wanazaliwa wanaongea english... Mbona yule dada wa south Shomadjozi ameimba kiswahili na kizulu na ameeleweka? tunakwama wapi?
 
Number of Nigeria in UK kubwa,ukija kujumlisha mshikamano walikuwa nao ktk industry yao ya muziki lazima wafanye vizuri.Kwa hiyo unaweza ukakuta 80% walio ukumbini ni Nigeria.
Screenshot_20191022-122803.png

Screenshot_20191022-122845.png
 
mwisho kabisa mi nasema tuibebe lugha yetu ipo siku dunia itakaa na kutusikiliza hata katika lugha yetu hii hii ya kiswahili ila mambo ya kufake ili tuonekane wa kimataifa haitusaidii just make good music good videos creativity create our own style.. tusiwaige waKenya Waganda or waNigeria wenzetu since wanazaliwa wanaongea english... Mbona yule dada wa south Shomadjozi ameimba kiswahili na kizulu na ameeleweka? tunakwama wapi?
Sasa mkuu kama una-Copy Beats za Nigeria,Video unategemea nini???
 
Wote wana talent ila naona Wizkid yupo kikazi ziadi ya Davido maybe because of their background Davido ni mtoto wa Bilionea wizkid amekulia maisha ya kimaskini zaidi
Yah O.B.O nyumbani zipo Wiz katokea kwenye njaa. Sema Wizkid talented sana yani hatumiagi nguvu sana. Anajua ndio maana alitoboa mapema Kimataifa. Uimbaji wake na sauti unamuweka popote na anafit. But Davido pia ni mpambanaji huwa hakubari kirahisi.

Wanajikuta wanaupush mziki wa Nigeria kwa nguvu sana. Huku tumekaa kibifu sana...
 
Mi napenda sana kusikiliza good music kutoka popote siangalii jina and Wizkid never dissapoints
 
Kizuri kinajiuza mzee Wizkid yupo juu anaiwakilisha vizuri Africa nzima na sapot anaipata kila sehemu si Nigeria tu sasa jiulize anatumia ndumba au ni nn kinamfanya apendwe sana
Anaiwakirisha Nigeria sio Africa. Sapot inaipata sana Nigeria na wanaigeria wanaoishi huko nje na vipofu wajinga wachache kutokea kama Tz hivi
 
Katika wasanii Africa Wizkid ana heshima zangu....!
 
Mwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out.

Hii inafanya msanii wa kwanza Afrika kuujaza ukumbi huo kwa Back to Back. Yani hiyo ni mara ya pili na mara zote tiketi zilikuwa Sold Out before Concert.

Tumezoea kuiona 02 Arena Ikijazwa na wasanii kama Chris Brown, Beyonce, Rihanna, Ariana Grande, Future n.k

STAR BOY NI MOTO WA KUOTEA MBALI.

Tunakwama wapi wabongo?
Tunafahamu Wizkid hafui dafu kwa King Kiba lakini umeamua kutomtaja. Sema nini King Kiba hapendi sifa za kijinga
 
Mbona diamond mwaka Huu amejaza ukumbi mkubwa wa Columbus wa inchini Germany ambao kabla ajafanya yeye show hakuna msanii yoyote wa Africa aliyefanya hivyo na ticket zote zilikuwa sold out.sema kwa Tanzania hatuna wasanii wengi wanaofanya vizuri compare to Nigeria ukiachana na diamond wengine unawatafuta kwa tochi.
Mbona tuliambiwa Diamond ame drop internationally
 
Kuna kitu cha kuangalia pia kwamba Nigeria ina diaspora kubwa sana kulinganisha na Tanzania.

Hii nayo inaweza kuwa factor.
Inahitaji kuwa na akili kubwa ili kubaini hiyo factor. Huwa wengi wamezoea ubishi maandazi
 
Back
Top Bottom