sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Huyu jamaa naona kadri siku zinavyokwenda naona umaarufu wake unazidi kuongezeka kana kwamba ana nyimbo kali kupitiliza,Mimi ni mfatiliaji na shabiki mkubwa wa nyimbo za Nigeria,kuna wasanii wanaimba sana lakini hawapewi sifa za Wizkid...watu Kama Mr flavour,tiwa Savage,patoranking,yemi alade,davido na wengine wengi wanajua Sana lakini sifa nyingi zinaenda kwa Wizkid,hit song zake zote za kawaida mno plus video,japo kila msanii ana staili yake ya uimbaji ila Wizkid wa kawaida sana...huu ni mtazamo wangu ukikosoa uje na hoja