Wizkid ana nyimbo za kawaida sana..

Wizkid ana nyimbo za kawaida sana..

Mimi mwenyewe nilikua najiuliza sana hilo swala, siku moja nikatumia muda mwingi sana you-tube nangalia nyimbo zake sikuona iliyonivutia sana, mwisho nikajisemea haka ka Wizkid katakua freemason au kachawi.
 
Tofautisha kumkubali mtu na kumkubali uwezo wake, even me smkubali diamond Lakin nakubali jamaa anauwezo
 
Akianza lazima uskie [emoji444]It's legendary beats[emoji445]
Starboy ana ngoma kali ila chache ni hizi:
*Ojuelegba (huu kwangu ni kama wimbo wa taifa)
*Caro
*Show you the money
*In my bed
*Soco
*Come closer
*Holla at your boy
*Baba nla
Aiseee mtoa mada embu jichunguze kwanza
Kwa kweli mtoa maada ajitafakari. Sijamwelewa kabisa.
 
hahaa acha basiii na wewe pia waunga mkono katika hili ".... kama mkisema kwamba nyinyi sio wapenzi wa ragga hapo nitawaelewa " yaani hata ojuelegba kweli ". .. niga you can't be serious
Sina maana ya kumpinga kwere nilimaanisha ni noma, jamaa anajua sana na anatalent ya hali ya juu. Kidayo ndio King wa Muzik hapa Africa kwa sasa
 
Akianza lazima uskie [emoji444]It's legendary beats[emoji445]
Starboy ana ngoma kali ila chache ni hizi:
*Ojuelegba (huu kwangu ni kama wimbo wa taifa)
*Caro
*Show you the money
*In my bed
*Soco
*Come closer
*Holla at your boy
*Baba nla
Aiseee mtoa mada embu jichunguze kwanza
Huyu mwamba hakosei mkuu ata akiimba wimbo wa taifa lazima utahit tu
 
Sina maana ya kumpinga kwere nilimaanisha ni noma, jamaa anajua sana na anatalent ya hali ya juu. Kidayo ndio King wa Muzik hapa Africa kwa sasa
alaaa hapo sawa .. nimemshangaa sana mtoa mada ..
 
Usimshangae huwenda akawa ni mpenzi wa music wa mwambao(Taarabu)
hahaa kuwa mpenzi wa music fulani haipaswi kuwa sababu ya kutoweza kuutambua mziki mzuri "... mimi binafsi nimpenzi wa R&B .HIP HOP .SOUL .REGGE . DANCEHALL .lakini napenda haswaa mziki mzuri " means hata ikitokea aina ya mziki ambao sijui lakini una melody kali na production nzuri aisee nitaupenda tu .. ni kama ambavyo baadhi yetu tulivyo kuwa tunazipenda nyimbo za congo na za kihindi wakati hata hatujui lugha zao
 
Akianza lazima uskie [emoji444]It's legendary beats[emoji445]
Starboy ana ngoma kali ila chache ni hizi:
*Ojuelegba (huu kwangu ni kama wimbo wa taifa)
*Caro
*Show you the money
*In my bed
*Soco
*Come closer
*Holla at your boy
*Baba nla
Aiseee mtoa mada embu jichunguze kwanza
Hiyo holla at your boy ndio song ambayo hainichoshi miaka yote tangu inatoka
 
hahaa kuwa mpenzi wa music fulani haipaswi kuwa sababu ya kutoweza kuutambua mziki mzuri "... mimi binafsi nimpenzi wa R&B .HIP HOP .SOUL .REGGE . DANCEHALL .lakini napenda haswaa mziki mzuri " means hata ikitokea aina ya mziki ambao sijui lakini una melody kali na production nzuri aisee nitaupenda tu .. ni kama ambavyo baadhi yetu tulivyo kuwa tunazipenda nyimbo za congo na za kihindi wakati hata hatujui lugha zao
Jamaa ana uwezo ila yupo overrated kiasi , ukiangalia kiundani ni kama amejaaliwa nyota na uwezo wa kutengeneza hitz ambazo zipo backed up na beatz kali kuanzia ojuolegba, in my bed, show yo the money ,manya na hata soko..
baada ya wasanii wa marekani kama drake na chris kum-feature kiasi ndo imempa hype sana ...

Ila kiukweli he is somehow overrated
 
Davido is best in Africa kwa sasa...!! Wizkid hamkamati davido aisee
 
Back
Top Bottom