hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Mkuu hebu nitajie wewe msanii ambaye ana uwezo mkubwa kuliko wizkid ambaye anatokea africa ... kuhusu suala la kuwa overrated sidhani but ungesema tu kwamba team yake inajua namna ya kum- brand juzi kati tu jamaa katoka kufanya show india na kaingiza kama bilion 1s hivi. .kwa show 1 .. imagine mtu ana fan base mpaka india huko "..Jamaa ana uwezo ila yupo overrated kiasi , ukiangalia kiundani ni kama amejaaliwa nyota na uwezo wa kutengeneza hitz ambazo zipo backed up na beatz kali kuanzia ojuolegba, in my bed, show yo the money ,manya na hata soko..
baada ya wasanii wa marekani kama drake na chris kum-feature kiasi ndo imempa hype sana ...
Ila kiukweli he is somehow overrated
halafu mkuu mziki mzuri huwa unaanzia kwenye beats then melody na rylics " kazikilize nyimbo za lucky dube. jinsi ambavyo zilivyo kuwa zinaandaliwa yaani mpoangilio wa drums .kick .piano .snare .base vyote una vi feel " halafu unakuja kukutana na melody kali ya back to my roots hahaa wimbo ukifika kwenye media na kufanyiwa promo lazima utasema kuwa dube ni overrated maana nyimbo itavuma Sana kupita matarajio ".. wiz nimtu anayejua soko la mziki wa sasa linataka nini " ndio maana anazidi kustawi