sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Sio hating mkuu tunaongea uhalisiaAmbazo sio za kawaida zikoje mkuu...Stop hating
Fever walivyoupa promo ni tofauti na wimbo ulivyo sio mzuri,labda kwasababu alimuweka tiwa Savage Kama video vixenMimi pia nilijiuliza hilo, kama huu wimbo wake mpya wa fever kawaida sana
Anabebwa na biti.Huyu jamaa naona kadri siku zinavyokwenda naona umaarufu wake unazidi kuongezeka kana kwamba ana nyimbo kali kupitiliza,Mimi ni mfatiliaji na shabiki mkubwa wa nyimbo za Nigeria,kuna wasanii wanaimba sana lakini hawapewi sifa za Wizkid...watu Kama Mr flavour,tiwa Savage,patoranking,yemi alade,davido na wengine wengi wanajua Sana lakini sifa nyingi zinaenda kwa Wizkid,hit song zake zote za kawaida mno plus video,japo kila msanii ana staili yake ya uimbaji ila Wizkid wa kawaida sana...huu ni mtazamo wangu ukikosoa uje na hoja
Huyu jamaa naona kadri siku zinavyokwenda naona umaarufu wake unazidi kuongezeka kana kwamba ana nyimbo kali kupitiliza,Mimi ni mfatiliaji na shabiki mkubwa wa nyimbo za Nigeria,kuna wasanii wanaimba sana lakini hawapewi sifa za Wizkid...watu Kama Mr flavour,tiwa Savage,patoranking,yemi alade,davido na wengine wengi wanajua Sana lakini sifa nyingi zinaenda kwa Wizkid,hit song zake zote za kawaida mno plus video,japo kila msanii ana staili yake ya uimbaji ila Wizkid wa kawaida sana...huu ni mtazamo wangu ukikosoa uje na hoja
hahaa acha basiii na wewe pia waunga mkono katika hili ".... kama mkisema kwamba nyinyi sio wapenzi wa ragga hapo nitawaelewa " yaani hata ojuelegba kweli ". .. niga you can't be seriousJamaa ni kwere nyie acheni
Sio kweli tutabishana siku nzima humuHata lil wayne ana nyimbo za kawaida sana