Wizkid ana nyimbo za kawaida sana..

Nyimbo ya gbese ni ya wizkid au Lil kesh
Unataka kulinganisha na kitorondo sio??
Wizkid ana nyimbo kali sana... tafuta hizi..
Gbese
Dadyo
Expensive shit..
Manya..
In ma bed..
Final..
N.k nk nk...
Tuliza mshono.. wivu huo wanao akina AMBER RUTY...
 
Sokosoko[emoji445] lokoloko kitu hatari zaidi ya dawa ya mbu
 
Achana kabisa na Ojuelegba,dady yo!! daah hao wengine uliowataja sijui wanaimba nini Labda hapo Patoranking ndo namkubali kwenye list yako
 
Kila mtu atetee chaguo lake
 
Jaribu kuchukua muda wako usikilize
1:baba nhla
2:soco
3:manya
4:this kind of love
Halafu kuna hiyo don't cry aliimba na weasel na radio hapo ndo nilipojua jamaa ni konyo
 
StarBoy ni next Level usimfananishe na msanii yeyote Afrika ngoma za Wizkid ni kwikwi na zina eleweka ukitaka kujua Wizkid ni noma sikiliza
 
StarBoy ni next Level usimfananishe na msanii yeyote Afrika ngoma za Wizkid ni kwikwi na zina eleweka ukitaka kujua Wizkid ni noma sikiliza
Nachomkubali jamaa hajawahi kufanana beat au style na watu wengine sasa sis wasanii wetu kwa kusample beat hadi wanakera
 
Mtoa mada kuna haja yakwenda kupima afya ya akili ... wiz ni next level ujue .. hivi umewahi kuisikia ile chorus ya. This kind love ... Ma lo " unaanzaje kusema kuwa ule ni uimbaji wa kawaida .
Yaani mkuu ukitaka kujua Wiz ni mkali sikiliza hiyo chorus yake kwenye this kind of love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…