Wizkid asema kidogo ndio nyimbo bora na anayoikubali kwa sasa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Msanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa nyimbo ya diamond platnumz aliowashilikisha psquare kidogo ndio nyimbo bora kwake na ndio anayoukubali.

Wizkid pia hakusita kumpongeza diamond platnumz baada ya nyimbo hiyo kuingia kwenye chat za bcc 1xtra uk na kupata rotation.

Katika chat hiyo ni wasanii 2 tu kutoka africa walioingiza nyimbo zao , kidogo ya diamond na shabba ya wizkid mwenyewe akiwa na chriss brown, french montana na trey songz.

Wizkid jumamosi hii atakuwa Tanzania jijini mwanza kutumbuiza kwenye show ya fiesta.
1471414281527.jpg
 
Msanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa nyimbo ya diamond platnumz aliowashilikisha psquare kidogo ndio nyimbo bora kwake na ndio anayoukubali.
Wizkid pia hakusita kumpongeza diamond platnumz baada ya nyimbo hiyo kuingia kwenye chat za bcc 1xtra uk na kupata rotation.
Katika chat hiyo ni wasanii 2 tu kutoka africa walioingiza nyimbo zao , kidogo ya diamond na shabba ya wizkid mwenyewe akiwa na chriss brown, french montana na trey songz.
Wizkid jumamosi hii atakuwa Tanzania jijini mwanza kutumbuiza kwenye show ya fiesta
View attachment 382983
unataka kusema aje hajawai isikia au promo za kuupaisha wimbo wa domo
 
Aje mwisho kenya nyie mdanganyeni mwenzenu kiba ajione yuko level moja diamond wakati kiuhalisia ni ligi mbili tofauti , mwenzake yuko uefa yeye fa cup
kwa kujipa matumaini hamjambo wana domo.....mwaka huu tuzo mtazisikia kwny bomba tu *****
 
Level ya tuzo kashapita africa inamjua vizuri, tuzo zote kashachukua hadi worldwide sasa huyo wako mpaka aanze kupata afrima aje worldwide leo?
Diamond siku chache zijazo anaanza tour yake ya africa nzima akiwa na bend yake kawaacha mbali sana
 
Inawezekana angetaja hata Aje ila sasa tatizo kaisikia wapi? maana ukute hajawai kuisikia kabisa lakini Mnyama Simba anaachaje kuisikiliza nyimbo ya competitor wake so obvious Chibu ndo baba lao.
 
Tujifunze akiki yabiashara.wiz anajua Tanzania kuna watu zaid yamil40.so akiupa promo wimbo wa tz anauhakika wakukubalika kwny nchi hiyo.so akiwa tz atasema hivyo akienda Kenya ayawasifia sautsol.ndivyo biashara ilivyo jaman
 
  • Thanks
Reactions: MC7

umetisha sana
 
Back
Top Bottom