Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sisi Tuna MTV mama, MTV emma , Afrimma tunazo 10 , Kili tunazo 12, kora tunazo 4 BET nominated Mara 2, channel 0 tunazo 3 Kibakuli wenu MTV, na Channel O hajawahi hata kuwa nominated kwahyo Dogo usifananishe kichuguu (kibakuli) na Mlima Kilimanjaro (Diamond)utajua mwenyewe ila mwaka huu hamna tuzo....cc tyar tunazo mbil NAFCA je nyie
Platnumz yuko Uefa kibakuli yupo ligi kuu vodacom
elewa swali usikurupuke tu kujibu....nasema kwa mwaka huu mmepata tuzo ngp mbn unazunguka[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sisi Tuna MTV mama, MTV emma , Afrimma tunazo 10 , Kili tunazo 12, kora tunazo 4 BET nominated Mara 2, channel 0 tunazo 3 Kibakuli wenu MTV, na Channel O hajawahi hata kuwa nominated kwahyo Dogo usifananishe kichuguu (kibakuli) na Mlima Kilimanjaro (Diamond)
ndo tazo la kuzaliwa kwenye mikoa mipya.....unafikiri mtu upo katavi uko utajua nnHalafu Dogo rudi shule kwanza humu hapakufai ona hata jina lako kuandika hujui nna mashaka na elimu yako hv umefika hata form 2 wewe andika IS UR BOY sio isho
Ndugu yangu kuna jukwaa umesusa msimu huu kabisa kutokea...wadau wanakuomba walau utokee kutoa hekima zako kuleKuna kitu wazungu wanaita "Competitive Advantage" na Diamond ameielewa!
That is, kama unafanya vizuri kuwapita washindani wako kwa colabo, basi endelea kupiga collabo maana ndo ushindi wako ulipo.
kumbe mlikuwa mnaumia sana ......... kama ni hivo basi mtaumia ZAIDI na hamtofika hapa. KUMBUKA HADI TUZO ZA HESHIMA ZIPO HUMO,BILA KUSAHAU YEYE NI MMOJA KATI YA NEMBO ZA TAIFA.mwaka huu wenu kama nawaona mnavoumia,,,,huu mchezo hauhitaj hasira jipangeni
Atleast anatoboa kwasababu ya collabo,Ali kiba hata kwa collabo hatoboi[emoji23]diamond bila collabo hatoboi
Yaani mwenzao kashajaza chumba wao ndo wanaanza kelele tupu, cha ajabu diamond mziki kaanza 2010 mwenzake kaanza 1999 .kumbe mlikuwa mnaumia sana ......... kama ni hivo basi mtaumia ZAIDI na hamtofika hapa. KUMBUKA HADI TUZO ZA HESHIMA ZIPO HUMO,BILA KUSAHAU YEYE NI MMOJA KATI YA NEMBO ZA TAIFA.
![]()
![]()
View attachment 383042
Ndugu yangu kuna jukwaa umesusa msimu huu kabisa kutokea...wadau wanakuomba walau utokee kutoa hekima zako kule
Ubarikiwe kamanda...Nipo man, next week nitaanza kuwa full member!
Kuna vitu naweka sawa kwanza.
Ubarikiwe kamanda...
Yeah we jamaa una akili sana...Kuna kitu wazungu wanaita "Competitive Advantage" na Diamond ameielewa!
That is, kama unafanya vizuri kuwapita washindani wako kwa colabo, basi endelea kupiga collabo maana ndo ushindi wako ulipo.