Activity Ratio
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 554
- 577
Wanataka wamshushe mmoia ili mmoja awe deal....Kweli wabongo hawaamini kuwa na Diamond wawili wala Kiba wawili bali wanataka kuwa na mmoja huku wakimshusha mwingine..Fid Q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka wamshushe mmoia ili mmoja awe deal....Kweli wabongo hawaamini kuwa na Diamond wawili wala Kiba wawili bali wanataka kuwa na mmoja huku wakimshusha mwingine..Fid Q
Anaogopa kujibu...achana naye....habari wanayoHujajibu swali Dogo hizo tuzo tutakazokosa mwaka huu nyie mnazo ngapi?
Dah ila he is not fair km ni hvyo... at least angeitaja hata aje wa kiba....not fair hahahTujifunze akiki yabiashara.wiz anajua Tanzania kuna watu zaid yamil40.so akiupa promo wimbo wa tz anauhakika wakukubalika kwny nchi hiyo.so akiwa tz atasema hivyo akienda Kenya ayawasifia sautsol.ndivyo biashara ilivyo jaman
Wanachoangalia wenzetu niupepo wamziki upoje kwny nchi husika.then anagusa kulekuleDah ila he is not fair km ni hvyo... at least angeitaja hata aje wa kiba....not fair hahah
Dah maskini kibaAje anaijua nani? Zaidi ya kenya kajitaidi sana rwanda nenda kasome hata comment youtube utagundia hilo
Aje imeishia Mathare kenyaunataka kusema aje hajawai isikia au promo za kuupaisha wimbo wa domo
uko sawa kabisa.ila ''wimbo wa Tanzania' kama ulivyosema ni 'kidogo' ya Domo tu?!!!.........mbona asitaje zingine kama Aje,Moyo mahine ya Ben Pol imepigwa hadi trace nk!??huwez kubisha kua baada ya tisa haiji kumi jamaa,utaonekana mwendawazimu....Domo ni msanii kubwa sana bongo na east africa KULIKO YOYOTETujifunze akiki yabiashara.wiz anajua Tanzania kuna watu zaid yamil40.so akiupa promo wimbo wa tz anauhakika wakukubalika kwny nchi hiyo.so akiwa tz atasema hivyo akienda Kenya ayawasifia sautsol.ndivyo biashara ilivyo jaman
Siwez sema coz cjafanyia research.no research no right tospeak.uko sawa kabisa.ila ''wimbo wa Tanzania' kama ulivyosema ni 'kidogo' ya Domo tu?!!!.........mbona asitaje zingine kama Aje,Moyo mahine ya Ben Pol imepigwa hadi trace nk!??huwez kubisha kua baada ya tisa haiji kumi jamaa,utaonekana mwendawazimu....Domo ni msanii kubwa sana bongo na east africa KULIKO YOYOTE
Ndio ujue kidogo ni wimbo mkubwa sana kutoka msanii mkubwa mno.maoni ya Star Boy yanaenda mbali zaidi ya sababu tu za kutaka nyimbo zake ziende.kama nyimbo yako ina sauti za CB,na kina Drake sasa promo yake haiwez kua ngumu kama ambavyo utamshirikisha Saut Sol..wz hana tabu hiyo kwa muonekano wa mambo ulivyo sasa..so usiumie sana n give credit where's dueSiwez sema coz cjafanyia research.no research no right tospeak.
Watanzania bana mtu anaongea kuhusu wizkid na wimbo wa kidogo.huyu jamaa anaongerea AJEunataka kusema aje hajawai isikia au promo za kuupaisha wimbo wa domo
Inawezekana nikwel unayosema ilakwangumm nakua mzito kukubal coz je utanipenda ni best song kwangumm kuliko kidogo.ila ntafnya utafitiNdio ujue kidogo ni wimbo mkubwa sana kutoka msanii mkubwa mno.maoni ya Star Boy yanaenda mbali zaidi ya sababu tu za kutaka nyimbo zake ziende.kama nyimbo yako ina sauti za CB,na kina Drake sasa promo yake haiwez kua ngumu kama ambavyo utamshirikisha Saut Sol..wz hana tabu hiyo kwa muonekano wa mambo ulivyo sasa..so usiumie sana n give credit where's due
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ndo tazo la kuzaliwa kwenye mikoa mipya.....unafikiri mtu upo katavi uko utajua nn
Hahaha[emoji28][emoji28][emoji28] motochini umekula kinds gani izooooAje imeishia Mathare kenya
Ajawai kuisikiaunataka kusema aje hajawai isikia au promo za kuupaisha wimbo wa domo