Wizkid asema kidogo ndio nyimbo bora na anayoikubali kwa sasa

Wizkid asema kidogo ndio nyimbo bora na anayoikubali kwa sasa

Kuna kitu wazungu wanaita "Competitive Advantage" na Diamond ameielewa!

That is, kama unafanya vizuri kuwapita washindani wako kwa colabo, basi endelea kupiga collabo maana ndo ushindi wako ulipo.
Bila ya kusahau competitive disadvantage
 
Mziki mtamu, mzuri, kujituma kipaji kinachangia na ngekewa juu, havimbi kichwa halewi sifa msafisha njia wa kimataifa lazima umkubali chibudi chibudeee
 
Back
Top Bottom