unataka kusema aje hajawai isikia au promo za kuupaisha wimbo wa domoMsanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa nyimbo ya diamond platnumz aliowashilikisha psquare kidogo ndio nyimbo bora kwake na ndio anayoukubali.
Wizkid pia hakusita kumpongeza diamond platnumz baada ya nyimbo hiyo kuingia kwenye chat za bcc 1xtra uk na kupata rotation.
Katika chat hiyo ni wasanii 2 tu kutoka africa walioingiza nyimbo zao , kidogo ya diamond na shabba ya wizkid mwenyewe akiwa na chriss brown, french montana na trey songz.
Wizkid jumamosi hii atakuwa Tanzania jijini mwanza kutumbuiza kwenye show ya fiesta
View attachment 382983
kwa kujipa matumaini hamjambo wana domo.....mwaka huu tuzo mtazisikia kwny bomba tu *****Aje mwisho kenya nyie mdanganyeni mwenzenu kiba ajione yuko level moja diamond wakati kiuhalisia ni ligi mbili tofauti , mwenzake yuko uefa yeye fa cup
diamond bila collabo hatoboiD kwa promo hiyo anaweza pata colabo na dogo, achangamkie fursa tu!
Level ya tuzo kashapita africa inamjua vizuri, tuzo zote kashachukua hadi worldwide sasa huyo wako mpaka aanze kupata afrima aje worldwide leo?kwa kujipa matumaini hamjambo wana domo.....mwaka huu tuzo mtazisikia kwny bomba tu *****
diamond bila collabo hatoboi
Mkuu wajinga huwa wanajifanya hawaelewiKuna kitu wazungu wanaita "Competitive Advantage" na Diamond ameielewa!
That is, kama unafanya vizuri kuwapita washindani wako kwa colabo, basi endelea kuoiga collabo maana ndo ushindi wako ulipo.
Platnumz yuko Uefa kibakuli yupo ligi kuu vodacomAje mwisho kenya nyie mdanganyeni mwenzenu kiba ajione yuko level moja diamond wakati kiuhalisia ni ligi mbili tofauti , mwenzake yuko uefa yeye fa cup
Nyie hizo tuzo tutakazozisikia kwenye bomba mnazo ngapi?kwa kujipa matumaini hamjambo wana domo.....mwaka huu tuzo mtazisikia kwny bomba tu *****
mwaka huu wenu kama nawaona mnavoumia,,,,huu mchezo hauhitaj hasira jipangeniNyie hizo tuzo tutakazozisikia kwenye bomba mnazo ngapi?
Hujajibu swali Dogo hizo tuzo tutakazokosa mwaka huu nyie mnazo ngapi?mwaka huu wenu kama nawaona mnavoumia,,,,huu mchezo hauhitaj hasira jipangeni
utajua mwenyewe ila mwaka huu hamna tuzo....cc tyar tunazo mbil NAFCA je nyieHujajibu swali Dogo hizo tuzo tutakazokosa mwaka huu nyie mnazo ngapi?
umetisha sanaTujifunze akiki yabiashara.wiz anajua Tanzania kuna watu zaid yamil40.so akiupa promo wimbo wa tz anauhakika wakukubalika kwny nchi hiyo.so akiwa tz atasema hivyo akienda Kenya ayawasifia sautsol.ndivyo biashara ilivyo jaman