Na nyie wana aje mtazisoma kwenye makaratasikwa kujipa matumaini hamjambo wana domo.....mwaka huu tuzo mtazisikia kwny bomba tu *****
Ni kweli ukiangalia comment nyingi ni wakenya na rwanda ndo wanasema eti kipenzi chaoAje anaijua nani? Zaidi ya kenya kajitaidi sana rwanda nenda kasome hata comment youtube utagundia hilo
Bila ya kusahau competitive disadvantageKuna kitu wazungu wanaita "Competitive Advantage" na Diamond ameielewa!
That is, kama unafanya vizuri kuwapita washindani wako kwa colabo, basi endelea kupiga collabo maana ndo ushindi wako ulipo.
hivi tanzania wasanii wapo wawili hii ishu inakera sanaPlatnumz yuko Uefa kibakuli yupo ligi kuu vodacom