kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Mkuu ulikuwa na mpango wa kununua nini?Hata mimi nafikiri wamepanga hii bei ili kutukomoa, hasa sisi watu wa mshahara wa kima cha chini. Haiwezekani kabisa, hii sio haki.
Mwenyezi Mungu, tunusuru na haya Mabalaa ya Dunian.
Tunapoelekea ndio kubaya zaidi tofauti na tunapotoka Sasa.
Wazungu wanamlengo tofauti sana na hii Sayari ya Dunia.
Uzuli wa hilo doli halikucheat yaaniDuuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5
Sasaivi usijiangalie wewe na mimi ambao tushaijua Duania, tuwaangalie watoto wetu ambao bado awajajitambua na hao zaidi wanaolengwa na Wazungu.Roho imeuma mno! Dah!
Hv mkuu ukiliketa utakuwa unaliweka wap, au unapohama unalibebaje kwenye gari.Umeona eeh? This is totally unfair. Wanatuumiza sisi watu wa kipato cha chini.
Chenchi inayobaki ya kujidunga kulegeza stress akianza kuwa mwenyejiMkuu sasa milioni 5 kwa kununua kitu artificial si uchote laki 5 uoe mke halisi chenji inayobaki uitumie kwa matumizi mengine?
Kwan wana had ndogo
Wanawake wapunguze maringo.. Watambue kuwa ipo substute..50% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hospital[WA-KIKE]
35% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hosptal[WA-KIUME]
Wanaobaki hufa kwa7b mbalimbali kipind wanazaliwa.
WANAWAKE WANAZID ,WANAUME TUNAPUNGUA.....Nini HAJA na LENGO la SEX DOLL? kwa wanaume
Ikifika siku 2 au 3 hv, utakuwa umeshalikinaiKama hilo kwenye picha mimi hata milioni 20 nalinunua, limenona mno......