Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

Kama hilo kwenye picha mimi hata milioni 20 nalinunua, limenona mno......
 
Hata mimi nafikiri wamepanga hii bei ili kutukomoa, hasa sisi watu wa mshahara wa kima cha chini. Haiwezekani kabisa, hii sio haki.
Mkuu ulikuwa na mpango wa kununua nini?
 
Kwahyo hiyo midoli inakata mauno vizuri kabisa na miguno ya mahaba au ndio kimyakimya
 
Duuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5
Uzuli wa hilo doli halikucheat yaani
labda litekwe kwa hiyo gharama iko fair kabisa
 
Roho imeuma mno! Dah!
Sasaivi usijiangalie wewe na mimi ambao tushaijua Duania, tuwaangalie watoto wetu ambao bado awajajitambua na hao zaidi wanaolengwa na Wazungu.

Kumbuka wazungu wanapopanga mipango yao inakuwa ya kulenga miaka zaidi ya 10 mbele, Sasa hapo utangundua kuwa wanawalenga watoto ambao Leo hii wana miezi 2 tu au miaka 2 .
 
Umeona eeh? This is totally unfair. Wanatuumiza sisi watu wa kipato cha chini.
Hv mkuu ukiliketa utakuwa unaliweka wap, au unapohama unalibebaje kwenye gari.
By the way wanaonunua haya madude weng watakuwa ni ma-senior mabachela haswaa.. na hawana mpango wa kuoa wala kukaribisha mtu nyumban kwao, hapa ikimaanisha hata ndugu hasa wale wanaopenda kulala au kufikia kwa ndugu
 
Mkuu sasa milioni 5 kwa kununua kitu artificial si uchote laki 5 uoe mke halisi chenji inayobaki uitumie kwa matumizi mengine?
Chenchi inayobaki ya kujidunga kulegeza stress akianza kuwa mwenyeji
 
50% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hospital[WA-KIKE]

35% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hosptal[WA-KIUME]


Wanaobaki hufa kwa7b mbalimbali kipind wanazaliwa.

WANAWAKE WANAZID ,WANAUME TUNAPUNGUA.....Nini HAJA na LENGO la SEX DOLL? kwa wanaume
Wanawake wapunguze maringo.. Watambue kuwa ipo substute..
 
Kama hilo kwenye picha mimi hata milioni 20 nalinunua, limenona mno......
Ikifika siku 2 au 3 hv, utakuwa umeshalikinai
Kama tu mtu kama Wema au Mabeto watu wanawakinai within a day usitegemee kudumu nalo sana kutokana na asili tuliyoumbiwa ya kukinai tulichokizoea
 
Iyo bei sio kubwa sana! uwo mdoli unaweza kuutumia three years ...sasa hapo ukinunua Dada poa kuja kufika miaka 3 unakuwa ushatumia kama 10M sasa uoni hizo mambo zinasaidia...sana.
 
Back
Top Bottom