We jamaa huu mwaka wa kumi upo Jf, lkn mpaka leo unachoandika akieleweki, umerogwa wewe!Kama kuna kitu nimekaa nikaanguaa
Ukipata mwanamke aliewahi pata mtoto ndugu ama akatemeka
Oa ndugu oaa wanaishi kwa adabu sana
Pili hata mkiwa mnatafuta mtoto ukiona unachukua mda kajicheki wewe kwanza maana mwenzio ashajitwalia mwana mapema
Wana hekima sana kwa waume zaoo wakati mwingine nawaza kwannn sikumuoa gfriend wangu
Yaan baana yake n rafiki yanguu anamsifiaa mpakaa najuta najamaa kaamua kulea mwanae na kaongeza wengine 3
Wanaupendo wa dhati na wa kweli marachache sana kuona aliekosea mara moja akakosea tena
Nawaasa makaka ambao mko single msidharaau nachoongeaa kuna siku mtanikumbuka jamani kwenye hili....
Yaan sikuhizi hata wale madada wa makanisani wamekuwa vimeo wakiolewa tu wakakaa mwezi miezi wanajihisi nao ndioo superman sio mke tena
Ugandaaa sikuhizi ndiooo habari ya mjini una mtoto mwanaume atakupenda mpaka ndoa inakufikiaa
Yaan hata.......anakupa heshima
Nawatakia heri wote mtakaolewa/mnaoolewa siku ya kesho na leoo
All the best
Yaaniii zamani ukioaa unabaki kudili na changamoto za kiuchumiHavieleweki hivi vitu. Ni kwa wanao amini uwepo wa neema ya Mungu, basi Mungu tu asaidie .. ndoa imekuwa na mshambulizi mengi.. ambayo yanahitaji neema ya Mungu. Hata wanawake au wanaume wanao shindwa kudumu kwenye ndoa sio dhamiri yao kushindwa.. Mambo sio rahisi
Tunahitaji Neema ya Mungu kubaki kwenye ndoa. Upendo wa watu wengi umepoa sana hasa katika eneno la ndoa. Si ajabu mtu akaamka asubuhi akakuambia hakutaki na ndoa haitaki.. ,😭Yaaniii zamani ukioaa unabaki kudiki na changamoto za kiuchumi
Ila ukuioa sasa uchumi anakaa pembeni
Unapambana na changamoto za ndoa..
Single mother muombe akupe GOTI akikugomea muache aende kwa Baba mtoto wake aliemtoa bikra ya GOTI usijitafutie mabalaaAll the best
Kuna nati zinakua zimepoteza ushirikiano kichwaniHasa umpate aliyekaribu na kuchanganyikiwa hakika utanenepa na kubunujikwa machozi ya furaha😁
Ukijilaumu ulichelewa wapi
Subiria kwanza azibuliwe maana anajifanya kiziwitumwambie au tuache
Kuna watu wanaandika usenge sana humu JF nadhani umeliona hiloHiyo mimba si umpige wewe na uishi nae au ukimpa mimba wewe hawezi kukuheshimu hadi azalishwe na wanaume wenzako ndo atakuheshimu? Heshima au anakuchora tu
Ukitaka kumjua vizuri,msomeshe,au apandishwe cheo kazini au mfungulie biashara imchanganyie halafu uje ulete mrejesho humu....Kama kuna kitu nimekaa nikaanguaa