Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Sio nisiseme bali hivyo ndio mlivyo,kupinga kila kitu ndio style yenu na mkiambiwa mnasema kwa sababu ni wapinzani. Huyu mama ni suala la muda tu mtaanza kupinga hadi mnayoyapendekeza sasa hivi, hapo utanielewa kwanini nawaita wapumbavu.
Hana uungwaji mkono wa kudumu, akihama chanel tunampa ukweli wake. Upumbavu ni neno pana, kila mtu ana tafsiri yake. Siku ukisema sisi sio wapumbavu, itabidi tuangalie tunakosea wapi.