Sio nisiseme bali hivyo ndio mlivyo,kupinga kila kitu ndio style yenu na mkiambiwa mnasema kwa sababu ni wapinzani. Huyu mama ni suala la muda tu mtaanza kupinga hadi mnayoyapendekeza sasa hivi, hapo utanielewa kwanini nawaita wapumbavu.
Na wewe ni 'wanyonge'?Usijindanganye kila aliye msaliti JPM Hawezi kurudi bunge. Sisi wananchi kila msaliti tunamjua
Ndio maana nikasema ni bado mapema muda wa kupinga kila kitu haujafika bado.Hana uungwaji mkono wa kudumu, akihama chanel tunampa ukweli wake. Upumbavu ni neno pana, kila mtu ana tafsiri yake. Siku ukisema sisi sio wapumbavu, itabidi tuangalie tunakosea wapi.
Ndio maana nikasema ni bado mapema muda wa kupinga kila kitu haujafika bado.
Kuna tofauti ya kukosoa na kupinga kila kitu, kukosoa ni pale mtu anapokosea ndipo unasema hili ni kosa ila kupinga kila kitu ni kwamba kila jambo litakalofanyika wewe lazima upinge hata kama limefanyika jambo ambalo ulikuwa unapigia kelele kuwa halifanyiki ila likifanyika wewe unapinga yani mwanzo mwisho ni kupinga tu hakuna zuri ndio maana nikasema muda wa kupinga kila kitu bado haujafika.Yes, akivuruga chochote tunampa ukweli wake. Hivyo jiandae kwa hilo
Muacheni aandike kitabu chahke mwenyewe . Nape moses nnauye.Mbona mnatumia nguvu kumtenganisha Samia na CCM?
Kuna tofauti ya kukosoa na kupinga kila kitu, kukosoa ni pale mtu anapokosea ndipo unasema hili ni kosa ila kupinga kila kitu ni kwamba kila jambo litakalofanyika wewe lazima upinge hata kama limefanyika jambo ambalo ulikuwa unapigia kelele kuwa halifanyiki ila likifanyika wewe unapinga yani mwanzo mwisho ni kupinga tu hakuna zuri ndio maana nikasema muda wa kupinga kila kitu bado haujafika.
Tatizo hapa utaanza kusema "lini umenisikia mimi nimesema hivyo?"Ww ni bendera fuata upepo, na ndio maana umeingia kwenye huo mtego wa neno kupinga kila kitu. Kuna vitu kibao watu wanaunga mkono na wala hawapingi, ila nyie mlioshikiwa akili na wanasiasa wachovu, wamewabrainwash kwa kuwaambia kuna watu wanapinga kila kitu, lengo hasa ni kuficha yale ya msingi yanayopingwa. Nitajie ni nani anapinga ujenzi wa barabara, shule, vituo vya afya, miradi ya maji nk?
Ninapokutana na bendera fuata upepo kama nyie mliolishwa neno la kupinga kila kitu, ninawaswaga tu, maana najua ni wajinga mnaojifanya mna busara.
Tatizo hapa utaanza kusema "lini umenisikia mimi nimesema hivyo?"
Na maana hasa ya kupinga kila kitu ni kwamba yani nyie mazuri hamuyaoni mkapongeza muda wote mnazungumza mabaya tu kila mnapozungumza, mfano sasa hivi Mama Samia kama kawaida hivi mwanzoni mnapongeza yale mnayoyaona anafanya vizuri(yapo pia anayokosea) ila huu ni mwanzoni tu ila sasa ule uchizi wenu ukishawaingia ndipo mtaanza kupinga/kuponda tu mwanzo mwisho yani hamtoona japo moja zuri mkapongeza kama ambavyo mnafanya sasa hivi mwanzoni.
Sasa Afrika kusini kote huko umeenda kufuata nini tena Afrika kusini yenyewe ile ya Mandela.Niambie ni Lini Mandela na wenzake wa Afrika kusini waliwahi kumsifia Kaburu Pieter Botha, au yeye hakuwa na mazuri?
Mzima ni yule anayechangia kwa utashi wako?Sasa Afrika kusini kote huko umeenda kufuata nini tena Afrika kusini yenyewe ile ya Mandela.
Wewe mzima kweli wewe?
Sawa kameze dawa.Mzima ni yule anayechangia kwa utashi wako?
Sawa kameze dawa.
Bahati nzuri mie sina hilo tatizo la kunifanya nimeze vidonge hivyo namvyomezaga.Ulizomeza ww umetupa wapi maganda?