Wolper afunguka pesa itayogharimu harusi yake

sasa 10mil kwa marekani mbona ni pesa ndogo sana?
 
Mchumba mwenyewe si ndio yule mume wa mtu! Au kajitokeza mwingine zaidi?
 
Marekani hiyo aliyoitaja hata nauli inaweza isitoshe.
 
Hivi kwa nini Watanzania tunakuwa wafujaji wa hela kihivi?
 
Mwisho wa siku utasikia nlikuwa naandaa movie. Inaitwa Ndoa Yangu. Msanii huyo.
 
Wapi bana wolper anafuata hela tu kwa yule bwana.hawaendani kabisa. Jamaa full mong'o yaan zinjatopa
 
sijawahi ona mchaga mjinga hivyo, sasa tsh million 10 (approx dola $4890) utafanyia nazo nn marekani???? 70 million tsh hapo hujaweka nauli ya go and return kwa wasindikizaji, si tsh million 100 ishaenda? hlf wolper sidhani hata kama ana nyumba...
 
sema atakuwa ameona inamtosha hiyo tu ya joti ilikuwa milion 100 ya jay prof sijajua
 
Isije kuwa anaandaa video mkajua kweli anataka kufunga ndoa...
hahahahahahah hapa chai ziko nyingi sana
hivi wanaanzaje kujinadi hivi? movie za bongo zimepanuka sio kwa mbwembwe hizi
 
Hawa watu wengine ndio wanasababisha tuonekane Shithole countries
 
USA ataenda na watu 4 plus yy na mme wake wanakuwa 6.

Return ticket minimum ni $1200 per person, times 6????

Hapo bado gharama za Sherehe na accommodation za hotel nk!

Huyu kichwa maji kweli kweli!
 
USA ataenda na watu 4 plus yy na mme wake wanakuwa 6.

Return ticket minimum ni $1200 per person, times 6????

Hapo bado gharama za Sherehe na accommodation za hotel nk!

Huyu kichwa maji kweli kweli!
Kwani huawajuwi hawa?! Ndio wanaodatisha visichana kwamba wanamaisha haya mazuri feki, 90% yao wamepanga tu na vigari, maisha yale ya kwamba wana good times ni picha za hotelini walipoenda kudanga...
Si wa kweli...
 
hivi wema nae kapanga mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…