Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyu nae hajuagi kufunga mdomo, anajitia gundu tu.....Mme mwenyewe mmmh namuachia Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchumba mwenyewe si ndio yule mume wa mtu! Au kajitokeza mwingine zaidi?View attachment 676149 Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.
Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi itayofanyika Marekani.
“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.
Akizungumza hayo pindi alipohojiwa na moja ya chombo cha habari mjini , Wolper amesema kuwa kwenye harusi inayotarajiwa kufanyika Marekani anatarajia kusindikizwa na wasanii wanne akiwepo Anty Ezekiel, huku wengine watatu bado hawajajulikana kwa majina yao.
‘’Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper
Wolper amesema kuwa gharama zote za wasanii watao msindikiza zitaakuwa juu yake yaani kuanzia usafiri wa hapa nchini hadi pesa yao ya kujikimu pindi wawapo nchini Marekani.
Dar 24
Kama wanasiasa tuuSiwaamini wasanii kabisa
Hivi kwa nini Watanzania tunakuwa wafujaji wa hela kihivi?View attachment 676149 Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.
Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi itayofanyika Marekani.
“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.
Akizungumza hayo pindi alipohojiwa na moja ya chombo cha habari mjini , Wolper amesema kuwa kwenye harusi inayotarajiwa kufanyika Marekani anatarajia kusindikizwa na wasanii wanne akiwepo Anty Ezekiel, huku wengine watatu bado hawajajulikana kwa majina yao.
‘’Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper
Wolper amesema kuwa gharama zote za wasanii watao msindikiza zitaakuwa juu yake yaani kuanzia usafiri wa hapa nchini hadi pesa yao ya kujikimu pindi wawapo nchini Marekani.
Dar 24
sema atakuwa ameona inamtosha hiyo tu ya joti ilikuwa milion 100 ya jay prof sijajuaHarusi za siku hizi huku mtaani gharama zake mil 25 hadi 60, za matajiri kidogo huwa zinafika hadi 100, za matajiri sijui maana huwa hata hawasemi. Wolper kama msanii mkubwa na mkongwe Tanzania kujinadi harusi ya mil 60 akidhani ni kubwa sana ni ulimbukeni.
Harusi nilizowahi kuchangia/kwenda mimi hazijawahi kuzidi mil 15 na wanandoa wamedumu kuliko za hao wabongo movie na fleva baada ya miezi miwili wanaachana
shilole alitangaza sana hukumsikia tuMwenzie shilole hata hakupiga kelele
hahahahahahah hapa chai ziko nyingi sanaIsije kuwa anaandaa video mkajua kweli anataka kufunga ndoa...
USA ataenda na watu 4 plus yy na mme wake wanakuwa 6.View attachment 676149 Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa mahali.
Wolper amedai kuwa ndoa hiyo inatarajia kugharimu kiasi cha shilingi milioni 60 za kitanzania, ikiwa milioni 50 kutumika kwa ajili ya harusi itayofanyika Dar huku milioni 10 kutumika harusi itayofanyika Marekani.
“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.
Akizungumza hayo pindi alipohojiwa na moja ya chombo cha habari mjini , Wolper amesema kuwa kwenye harusi inayotarajiwa kufanyika Marekani anatarajia kusindikizwa na wasanii wanne akiwepo Anty Ezekiel, huku wengine watatu bado hawajajulikana kwa majina yao.
‘’Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper
Wolper amesema kuwa gharama zote za wasanii watao msindikiza zitaakuwa juu yake yaani kuanzia usafiri wa hapa nchini hadi pesa yao ya kujikimu pindi wawapo nchini Marekani.
Dar 24
Kwani huawajuwi hawa?! Ndio wanaodatisha visichana kwamba wanamaisha haya mazuri feki, 90% yao wamepanga tu na vigari, maisha yale ya kwamba wana good times ni picha za hotelini walipoenda kudanga...USA ataenda na watu 4 plus yy na mme wake wanakuwa 6.
Return ticket minimum ni $1200 per person, times 6????
Hapo bado gharama za Sherehe na accommodation za hotel nk!
Huyu kichwa maji kweli kweli!
hivi wema nae kapanga mkuu?Kwani huawajuwi hawa?! Ndio wanaodatisha visichana kwamba wanamaisha haya mazuri feki, 90% yao wamepanga tu na vigari, maisha yale ya kwamba wana good times ni picha za hotelini walipoenda kudanga...
Si wa kweli...