Inategemea hiyo pombe unainywea wapi. Matola kasema alinunua 45, bshaka alinunua kwenye maduka ya vinywaji na sio hotelini. Kuna hoteli nilienda kula Mbunye nakumbuka niliinunua 70elf.
Sasa na wewe hiyo "70elf" unaona hela eeeee?
Sasa na wewe hiyo "70elf" unaona hela eeeee?
Yaan umepaona hapo tu mwisho basi usijelowaaa
Hahahaha......sina koki mieeeeee
Hhhhhhaaaa
Jana mwenzio si nilikuwa napita barabaran binamu yako nishaulamba utanijua kuwa ndo cha umbea aliyeshindikana? Basi bhana kwa mbele nikakaona kademu kamekaa peke yake si nikasema nimeokota embe dodo, sasa ile nakaribia nikaanza kubadilisha miondoko na swaga ili demu anikubal kufika karibu kumbe yule demu ni mtambo bwana, nati zilishakatika, yakanishukaje
nililala mapema kama kuku acha usingizi mtamuNzuri uko poaaaa,,,jana ulikua wapi mazeee
watu bhana ''wasipokurekodi lazima wakupige screenshot''
Kwanini umesema hivyooo hhhhaaaa
Angeambulia kibao angesema tu binam hafichagiii
Hawa masta mnawapatia sana wakisogeza tu mguo mpo