Wolper amwangukia Mkongo

Wolper amwangukia Mkongo

Inategemea hiyo pombe unainywea wapi. Matola kasema alinunua 45, bshaka alinunua kwenye maduka ya vinywaji na sio hotelini. Kuna hoteli nilienda kula Mbunye nakumbuka niliinunua 70elf.

Sasa na wewe hiyo "70elf" unaona hela eeeee?
 
Hhhhhhaaaa

Jana mwenzio si nilikuwa napita barabaran binamu yako nishaulamba utanijua kuwa ndo cha umbea aliyeshindikana? Basi bhana kwa mbele nikakaona kademu kamekaa peke yake si nikasema nimeokota embe dodo, sasa ile nakaribia nikaanza kubadilisha miondoko na swaga ili demu anikubal kufika karibu kumbe yule demu ni mtambo bwana, nati zilishakatika, yakanishukaje
 
Hhhhjhhhhhhaaaaa hapa nilikua nakusaka,eheee ulikua umevaaje ,unamaanisha demu alikua chizi au Kim nana njoo basiii ucheke hapaa cha umbea alieshindikana jf hhhhaaa
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa binamu kashindikanaa....vipi hajaambulia hata kibao cha uso? eti warumi....hujakoswa koswa kweli...?
 
Last edited by a moderator:
watu bhana ''wasipokurekodi lazima wakupige screenshot''
 
Back
Top Bottom