Wolper amwangukia Mkongo

Wolper amwangukia Mkongo

Zari anajiamini halafu anajujua mzuri.. Eti pale Ana watoto 3 ila bado anaita. Yule asingekubali kuchanganywa live

Heri yakeeee ,kwa hiyo sasa atakua na kakumpoza tu,
ana mwili mzurii sasa shoga ako wema hajazaa yupo hivyo akizaa je michiriz itakua mpaka usoni na kuzeeka kwa sana
 
Heri yakeeee ,kwa hiyo sasa atakua na kakumpoza tu,
ana mwili mzurii sasa shoga ako wema hajazaa yupo hivyo akizaa je michiriz itakua mpaka usoni na kuzeeka kwa sana
Alikuwa mzuri akajiharibu na Caro light atajujua mwenyewe manake nishampenda hadi nikaitwa zamaradi na akina ganchong na Matola ila hapendeki kila siku kuna jipya
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa mzuri akajiharibu na Caro light atajujua mwenyewe manake nishampenda hadi nikaitwa zamaradi na akina ganchong na Matola ila hapendeki kila siku kuna jipya

Nami nilikua najua we ni zamaradi kipindi hicho nawasoma tu sichangiii
Kwa hiyo sio wewe zama etii
 
Last edited by a moderator:
Wewe nakwambiaga unapenda umbea ila vitendea kazi huna, kuna Moet Hennesy na Moet shampeni mwaka jana mimi niliuziwa kwa sh 45,000/= sijui kwa sasa maana mimi ni mtu wa bia hiyo niliagiza kwa ajili ya mtu maalum.

Mamayo zao kumbe wanatudolishia kwa 45k..
Mie hakyamama nlijua usd 300 au 480.
mwee ushamba mzigo.
 
Mamayo zao kumbe wanatudolishia kwa 45k..
Mie hakyamama nlijua usd 300 au 480.
mwee ushamba mzigo.

Hhhhhhhaaaaa basi mi nilidhan bei kubwa aiseeee amu umechokajeeee
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhhaaaaa basi mi nilidhan bei kubwa aiseeee amu umechokajeeee

Hivi kweli msanii mwenye jina unayefanywa na mapedeshee mjini unaringishia pombe ya 45,000 pombe wakinywaga balimi hawapigi picha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom