Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
JD, konyagi MTU akizipiga ajue chiu yangu haoni. Mambo ya kupekechwa hadi moto uwake nani anataka
Unatoka hapo k inauma unaimwagia maji ya baridi badala raha inakua karaha ya ninii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JD, konyagi MTU akizipiga ajue chiu yangu haoni. Mambo ya kupekechwa hadi moto uwake nani anataka
Eti wachambia klm
Madame mwaga banaaaaa
Nikiumwaga utakuja kuuanua jioni
Basi mi nalala bye
Acha umbea, unachoulalia mapema hii nini?
Utaukuta tu
Pole
lala basi
Watu wana roho ngumu jamani!!!Eti huyo ndiye anayegombewa.....shida hizi!
We ni Matola banaHii siyo in daily basis kuna siku maalum uchi ni lazima hutendee haki yake. K nayo inahitaji kusuguliwa sometime siyo show game tu chenga nyingi kama Messi no, linatakiwa bundesiliger.
Pole
lala basi
lala wewe basi hata ukue
Umerudi huoooooo
We ni Matola bana
Anabisha makusudiii hhhhhhhaa ni yeye ndio
Hapendwi mtu hela yake tu. Hata Remmy Ongara alisema alitembea na wanawake zaidi ya 200!! Yaani hata uwe na sura la kima but ukiwa nazo mamiss na wasanii wote na warembo ni wako tu.