Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,625
Utamu wa chai ni sukari sasa hadaikeni na sure Mwenzio huenda kapendea sukari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule naye mrembo mno...utaweza kumlea weye?Kaniachia mie
Jamaa anatisha hatari,mtu wa wapi huyu?Watu wengine kwani lazima kuvaa miwani?
Shemela kama 'jambazi' kwenye bongo movie!Hhhhaaaa,wolpa kaenda kujichagulia pete hataki mchezo
Daby acha umbea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha weee
Sura hata Mbuzi anayo.Mapenzi ni upendo bwana na pesa hhaq
Wanyakyusa ndio wana sura za hivyo?[emoji57]HAHA HUYU KAKA MBAAAAAAYAAAAAAAAAAAAAAAA ATAKUWA MNYAKYUSA NINI? TUNUNU