Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Utamu wa chai ni sukari sasa hadaikeni na sure Mwenzio huenda kapendea sukari
 
mademu bwana wanachezeaga tu bahati wanarukaruka ikifika umri 35-above hawana mchumba wa kueleweka wala anae tania kumuoa ndio akili zinawarudia acha awe k ya taifa tu kama mwenzie wema[emoji23]
 
Anaonekana ana muhogo wa jangid huyo kama sio wa jang'ombe.
 
Dah!huyo jamaa anasura chungu[emoji23][emoji23]ila Dina mungu anakuona kumfananisha shemela na jambazi
 
Back
Top Bottom