Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”

Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:

“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
 
Hawa wahenga noma sana, eti walisema "Ngoma ikivuma sana inafanyaje...?" Ni maisha yao hata hivyo, wanaweza kufanya chochote watakacho, tatizo tu ni kwamba, kwa nini kila kitu kimekua tangazo? Nahisi kuna mtu anajikopesha furaha...

cc mkorinto
 


Hilo ni jinamizi la talaka tu, si unawajuwa mademu wa kichagga katika mapenzi? Hapo anachochea kuni tu, juzi juzi hapa alipokuwa anapigwa pumbu na mcongo alikuwa anajitambia kuwa anaolewa na yule jamaa soon, vipi sasa? Watu siku hizi wameshashitukia mademu wa kichagga yaani hata wageni wanaonywa mapemaaaa!
 
Kwani kumzalia mtu mtoto ndio ishara ya kuonyesha kuwa umefika,bado inaonyesha hajitambui na mapenzi hayajui anavamia tu na anahisi huko ndio kupenda.Kwa umaarufu aliokuwa nao angepaswa kupata ushauri kutoka kwa watu kama Chris Mauki ili afanye maamuzi yenye hekima kuliko ku kurupuka.
 
Yaani na alipoharibu kwnda kunywa kidonge ili awe mzungu!!!wacpozaa kuanza kumcingizia Mungu!!hpo ndo nilipoona ujuha wa tom boy!!!
 

Uchi anao sawa, je kizazi anacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…