Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..na mwandishi wa GAZETI gani?MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”
Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:
“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
Mbona kunoga.... (In chingas voice)Bhaaa ntonto kakolea anata kumpa ntonto...mbona kunoga!
Mzee usichelewe goli lipo wazi babu Kiba keshapiga kibuti.Na mimi naanza kumtafuta Jokate...
Nimekumbuka wimbo waSijaelewa mantiki ya neno "lazima nimzalie" hivi anadhani watoto wanaokotwa tu? Awaulize Jaydee na Wema.
Hawa Bongomavi Mungu so sehemu ya maisha yao.
Nyie wakati mwingine siwaelewi. Hivi unadhani kwa nini hao akina Wema, Wolper, Shishi etc wanapenda Serengeti boys? Jibu ni wazuri wa kuzama kama wana Apollo wa Merelani. Ili akupende lazima utoe noti (vibabu) au uzame baharini (serengeti boys) na ukishazama baharini ndomu ya nini? Si kujificha katika kivuli cha mti tuKwahiyo watafanya kavu kavu
Kumbe!! Sasa na yle mapichapicha na mavideo Mcongo akiyaachia si atajinyonga kabisa!?anajifariji tu na kibuti cha mcongo maskini
Ruttashobolwa@velentina....
Habari yako Somo? Ntonto anataka kupewa ntonto.....bhaaaRuttashobolwa