Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Hivi huko bongo muvi hamna wakubwa? Watu kama ma-matron hivi😡 mbona kama nashindwa kupata tofauti kati ya kuzimu na bongo muvi!..
 
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”

Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:

“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
..na mwandishi wa GAZETI gani?
 
Mlisema wanatafuta kiki sasa wanaendelea kuwapeni mirejesho kuwa n'ton'to kakolea na keshafika,na kama hiyo haitoshi anaamua kuzaa nae. Kuna watu wanauliza kwani kuzaa nae ndio kupenda ...... waulizeni wanawake watu wanaoamua kuzaa nao wanawaweka katika kundi gani kama si la kuridhika nae.
 
JAMANI MWENYE NAMBA YA KIDOTI ANIPE MIE....MAANA IMEFIKA PAHALA WATU TUNATOA YA MOYONI..TENA UVUNGU WA MOYO WANGU. KIDOTI KAMA YUPO SINGO NIPEWE MIE..HAIWEZEKANI RASILIMALI MUHIMU KAMA ILE WATOTO WANAICHEZEA NA KUITUPA BILA KUJALI THAMANI YAKE.
 
Penzi la kuigiza linakwenda kimaigizo igizo tu. Ngoja tuone mwisho wa picha maana movie inaelekea mwisho
 
Sijaelewa mantiki ya neno "lazima nimzalie" hivi anadhani watoto wanaokotwa tu? Awaulize Jaydee na Wema.

Hawa Bongomavi Mungu so sehemu ya maisha yao.
Nimekumbuka wimbo wa
Mtoto si nguo utaomba mtu mamaa
Nassau wangu eeh ninalia sana
Nb hawajui kana ni sheria ila kuwa ni majaliwa.
 
Sijaelewa mantiki ya neno "lazima nimzalie" hivi anadhani watoto wanaokotwa tu? Awaulize Jaydee na Wema.

Hawa Bongomavi Mungu so sehemu ya maisha yao.

anajifariji tu na kibuti cha mcongo maskini
 
Kwahiyo watafanya kavu kavu
Nyie wakati mwingine siwaelewi. Hivi unadhani kwa nini hao akina Wema, Wolper, Shishi etc wanapenda Serengeti boys? Jibu ni wazuri wa kuzama kama wana Apollo wa Merelani. Ili akupende lazima utoe noti (vibabu) au uzame baharini (serengeti boys) na ukishazama baharini ndomu ya nini? Si kujificha katika kivuli cha mti tu
 
anajifariji tu na kibuti cha mcongo maskini
Kumbe!! Sasa na yle mapichapicha na mavideo Mcongo akiyaachia si atajinyonga kabisa!?

Hivi hizi sheria za ubakaji haziwahusu wamama wanaowabaka wavulana wadogo!?[emoji34][emoji34]
 
raha ya JF nyuzi huwa hazifutiki zipo tu..ngoja watoane nduki kwa kashfa sisi tutaurejesha tu huu uzi kwa matumizi ya "rejea"
Ila huyu somoo Chinga ni vyema akamtafuta yule shoga yake Mziwanda ili akampa darasa kidogo la kudili na nyapu za aina ile,ili ajitayarishe kisaikolojia kwa lolote zaidi pale mipunga inaposuasua
 
Back
Top Bottom