Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Huyo ndo mchaga bana hachezi mbali na fursa maana yupo tayari kuzaa kwa ajili ya pesa....
 
Dah kama mapenz ni upofu ila kwa huyu Dogo naona ata alama ya mcho kwenye paji lke la uso wake hakuna!!
 
Kuna movie inakuja harmonize na wolper ndo wanaifanyia promo
 
Hii ni taarifa njema sana kwa akina njomba nchumari wote hususani maaeneo ya masasi,nachingwea,newala, maeneo ya ndanda nk
"...akiinama nchale,ikisimama nchale,akigeuka nchale..."
Aisee umaite dachi yaani tunifurahi mpaka aneyo mkongwe akahe mwakau
 
Back
Top Bottom