Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Wolper: Lazima nimzalie Harmonize

Yaani naona yale mapichapicha ya baba mkwe wake na baby mama tiffa alikuwa anayatamani siku nyingi kwa hiyo anataka na yeye apite humohumo
 
Zaa mama kilomita zinasonga izo hazirudi nyuma...utajikuta uko 50 bila mtoto kama dada zako wengine ambao mayai yao yamezeeka mpaka yameliwa na panya.
 
Tangu aachwe na mcongo kachanganyikiwa
 
Ndio kusema tena ntoto wa nangwanda katunukiwa.!!![emoji75][emoji75]
 
Nangwanda Sijaona x
Nangwanda Nimeona √
"Usione sooo,sema nae
Kuhusu kusubiri,au kutumia Condom"
Kuzaa majaliwa,kuolewa haki na ni sheria.
YNWA
 
Duh ningeipata mim iyo bahati ya kumkojoza ningeuza arusha asee
 
huyu wolper kwa sisi wahun hatuwez kumpitia kavu kavu
 
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”

Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:

“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
Sijaelewa mantiki ya neno "lazima nimzalie" hivi anadhani watoto wanaokotwa tu? Awaulize Jaydee na Wema.

Hawa Bongomavi Mungu so sehemu ya maisha yao.
 
Mtu ambae ni Addict hawezi elewa shida itakayotokea maana ubongo unakuwa umesinyaa
kwani wewe ulipozaliwa mamako na babako si walikutana kavukavu...sasa wengine kwa nini hutaki wakutane kavu?
 
Back
Top Bottom