Mashuga mami hawa wanabaka watoto kweupee dah! shetani amuepushe dogo.
Duh ningeipata mim iyo bahati ya kumkojoza ningeuza arusha asee
kwani kavu kuna shida gani?Kwahiyo watafanya kavu kavu
Sijaelewa mantiki ya neno "lazima nimzalie" hivi anadhani watoto wanaokotwa tu? Awaulize Jaydee na Wema.MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”
Kauli hiyo imekuja zikiwa ni siku chache tangu mwigizaji huyo aamue kuanika uhusiano wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii ambapo watu wengi wamekuwa wakimsema vibaya kwamba hayupo ‘serious’ na penzi hilo. Alipoulizwa na mwanahabari wetu kuhusu madongo hayo, alifunguka:
“Hawajui mimi ndiyo nimefika. Kudhihirisha hilo labda niwaambie tu, nampenda kufa na ni lazima nimzalie Harmonize.”
Una uhakika kuwa hawafanyi?Kwahiyo watafanya kavu kavu
Yeye siyo wa kwanzaHuyu dada kweli hamnazo, hivi kuzaa mpaka uitaarifu dunia! Hayo ni mambo binafsi, na ikishindikana uje kututaarifu kwamba shughuli imebuma.
bora kula jimama kuliko kula shoga...Mashuga mami hawa wanabaka watoto kweupee dah! shetani amuepushdogo.
Mtu ambae ni Addict hawezi elewa shida itakayotokea maana ubongo unakuwa umesinyaakwani kavu kuna shida gani?
kwani wewe ulipozaliwa mamako na babako si walikutana kavukavu...sasa wengine kwa nini hutaki wakutane kavu?Mtu ambae ni Addict hawezi elewa shida itakayotokea maana ubongo unakuwa umesinyaa