Wolper na Hamornize watibuana tena

Wolper na Hamornize watibuana tena

Eti hamornize kamuimba kwa nyimbo yake mpya ,bibie wolper bibi wa viben10 kamwaga mapovu hayaaa [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 586916 nyie watu kama mnapendana rudianeni ,,sasa wolper umejuaje umeimbwa au kiki tu badala ukitulize na huyo rasi wako jomoniii
View attachment 586918 mwenye nyimbo ya sumu ya hamornize atuwekee hapa tuisikie
Ila wolper ana kiherehere[emoji23][emoji23][emoji23] kwani angenyamaza angekufa ni ushaamba asee japo hiyo ni dalili ya kuwa bado unampenda ati maana huisho kuwaongea hamo na sarah Kardashian [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yule saraha huo uso mrefu aliufanyaje jamani yaan hawezi kuangalia mbele mpaka avae miwani au ndio mioperesheni yao[emoji23][emoji23] ,yaan yule dada picha za kuangalia mbele ya camera mpaka avae miwani lasivyo atageuza shingo pembeni halaf mjanja kweli ni kama zari akitaka kucheka yupo makini kweli kwenye picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapenda ubuyu kujeni mtiririke
geniveros Maserati Linamo Shunie Miss Natafuta dark angel espy
wimbo upo kwenye a/c ya harmonize YouTube or wasafi.com
 
Huwa unamuwaza nani ukiwa unajipa raha?

Ole wako ukosee kulijibu hili swali siku kama ya leo ambapo iPhone 8 inazinduliwa....
Nyani Ngabu peke yake
Na likes nimekupa juu [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji144]
 
Haya sema...wataka iPhone 8, 8 plus, au iPhone X?

Mi naisubiri X itoke na natarajia kuweka pre order wiki hii
Nawe unataka X ili tuwe sare sare maua?
Eee nataka tuwe sare sare maua[emoji8]
Ole wako usiniletee hiyo pua yako halali yangu
 
Back
Top Bottom